Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya. Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania...
5 Reactions
89 Replies
4K Views
Thamani ya shillingi ya Tanzania inashuka kwa kasi sana ukilinganisha na shillingi za jirani zetu. Naomba kutoa mfano. Juzijuzi hapa kama mtu angetaka kupata shillingi 1 ya Kenya ingembidi atoe...
3 Reactions
9 Replies
747 Views
Wakuu, Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk Jasson Rweikiza amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani iliyosheheni mafanikio lukuki ikiwemo ukamilishaji wa miradi...
0 Reactions
7 Replies
582 Views
Kuna mtu aliniambia kuwa CCM bungeni imejaza watu wasiosoma, nikamtalia kabisa.Nikamwambia katika bunge Lililojaza wasomi na wasomi wabobevu ni hili la Sasa. Baadhi ya watu hawajui ni kwa nini...
2 Reactions
6 Replies
528 Views
Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo ...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Uzuri wa namba Huwa hazidanganyi zinakupa ukweli naked. Yaani kila sekta Kila Idara Uongozi wa Samia unaonekana kuwa game changer. Just imagine awamu 5 zilizotangulia zimejenga Jumla ya VETA...
6 Reactions
84 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa Kagera Hajjati Fatma Mwassa amesema mnamo Mwezi Mei Ujenzi wa Soko jipya la Manispaa ya Bukoba utaanza na baada ya mwaka mmoja litakuwa tayari kwa matumizi. Aidha RC Mwassa amesema...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu Msikubali...
17 Reactions
119 Replies
4K Views
Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa kabla ya hatua ngumu zaidi huko mbele, lengo la kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
FARIS BURUHANI: VIJANA ACHENI KUTOA SADAKA TU JIFUNZENI KUPOKEA PIA*📌 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amewaasa vijana wa mkoa huo kujipanga kimkakati kugombea nafasi za...
1 Reactions
0 Replies
320 Views
Mbunge wa Viti Maalum Taasisi zisizo za Serikali(NGO) ameendelea kujiimarisha katika harakati za Ubunge Bukoba Mjini kwa kuendelea kutoa misaada mbalimbali Pia soma Pre GE2025 Special Thread...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, madarakani ameweza kutekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Wadau hamjamboni nyote? Kwangu Mimi niheshima...
2 Reactions
18 Replies
782 Views
Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
1 Reactions
1 Replies
295 Views
Mamlaka ya usafiri na uchukuzi fuatilieni hili swala, mama kama huyu kusafiri mikoa yote mzigo wake ukiwa sawa alafu ghafla anazuiliwa kwenye mzani wa mwisho inafikirisha sana. Kuna mazingira ya...
2 Reactions
0 Replies
256 Views
Ukianzia pale kwa Mzee Kinana unaweza kuiona kabisa Team Ben Mkapa ndio imeshika Mikoba ya CCM kwa sasa Mzee Kinana, Dr Nchimbi, Makalla na Rostam Aziz yaani Lupaso Watupu Mungu wa Mbinguni...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee. Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na...
1 Reactions
2 Replies
269 Views
Hali ya siasa ni shwari zaidi kwa upande wa CCM na ushindi wa kishindo uchaguzi ujao ni wa uhakika na unanukia vizuri sana kwa ngazi zote za urais, ubunge na udiwani. Na mpaka sasa hakuna anae...
2 Reactions
8 Replies
588 Views
Back
Top Bottom