Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefafania madai ya uwepo wa wawtu mkoani Dar es Salaam wanaojiandikisha zaidi ya mara moja. Ndg. Ramadhani Kailima amebainisha nini Tume...
0 Reactions
8 Replies
867 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu. Tunakumbuka tulikotoka. TRA walikuwa miungu watu. Tena zilikuwepo...
3 Reactions
13 Replies
665 Views
Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani. Mramba amesema ni faida kwa...
11 Reactions
128 Replies
6K Views
Lazima tukubali yakuwa serikali zote ulimwenguni Hazina uwezo wa kuajili raia wake. Lazima tukubali yakuwa njia pekee y kupunguza changamoto za ajira ni kutengeneza mazingira rafiki ya uwekezaji...
10 Reactions
27 Replies
929 Views
JULIANA SHONZA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KATA YA KALEMBO, ILEJE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kalembo Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Kuanzia mwaka 2021, nimepata uzoefu mkubwa katika uongozi na uongozi wa watu kupitia mbinu mbalimbali zisizo za kawaida. Katika kipindi hiki, nimejifunza kuwa uongozi si tu kuhusu mamlaka, bali...
1 Reactions
7 Replies
505 Views
Mbwembwe za mgogoro huu wa Yanga kugoma kucheza mechi iliyoahirishwa tarehe 8 March una baraka zote kutoka serikalini ili kudhoofisha mada kuu ya Chadema ya NO REFORM NO ELECTION, maana hawana...
1 Reactions
6 Replies
895 Views
Habari, Nimekuwa kimya kwa miaka mingi, kutokana na miangaiko ya hapa na pale. Lakini kila ninapopita mitaani, vichochoroni na kwenye madimbwi ya maji na kutana na neno hili 'KAMANDA" nikirudi...
1 Reactions
32 Replies
947 Views
Kutoka Sumbawanga Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ameweka Jiwe la Msingi la mradi mkubwa wa umeme unaojulikana kama TAZA. Mradi huo ukikamilika Itaunganisha Mkoa wa Rukwa...
1 Reactions
11 Replies
825 Views
Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani. CHADEMA wameshasema No Reform...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
My Take Kuliko kuendelea kuwa na reli inayoleta hasara,Tanzania na Zambia zimpe Mchina. Naunga mkono ubinafsishaji wa Tazara na Mashirika mengine yote yanayotupa hasara au laa yafutwe kabisa...
19 Reactions
97 Replies
8K Views
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya. Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania...
5 Reactions
89 Replies
4K Views
Thamani ya shillingi ya Tanzania inashuka kwa kasi sana ukilinganisha na shillingi za jirani zetu. Naomba kutoa mfano. Juzijuzi hapa kama mtu angetaka kupata shillingi 1 ya Kenya ingembidi atoe...
3 Reactions
9 Replies
747 Views
Wakuu, Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk Jasson Rweikiza amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani iliyosheheni mafanikio lukuki ikiwemo ukamilishaji wa miradi...
0 Reactions
7 Replies
582 Views
Kuna mtu aliniambia kuwa CCM bungeni imejaza watu wasiosoma, nikamtalia kabisa.Nikamwambia katika bunge Lililojaza wasomi na wasomi wabobevu ni hili la Sasa. Baadhi ya watu hawajui ni kwa nini...
2 Reactions
6 Replies
528 Views
Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo ...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Uzuri wa namba Huwa hazidanganyi zinakupa ukweli naked. Yaani kila sekta Kila Idara Uongozi wa Samia unaonekana kuwa game changer. Just imagine awamu 5 zilizotangulia zimejenga Jumla ya VETA...
6 Reactions
84 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa Kagera Hajjati Fatma Mwassa amesema mnamo Mwezi Mei Ujenzi wa Soko jipya la Manispaa ya Bukoba utaanza na baada ya mwaka mmoja litakuwa tayari kwa matumizi. Aidha RC Mwassa amesema...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Back
Top Bottom