Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia...
SWALI NI: JE, MFUMO WA MAJIMBO UTALETA UKABILA NA KUFANYA BAADHI YA SEHEMU TANZANIA KUTOKUWA NA MAENDELEO?
Amani iwe nanyi wadau!
Leo napenda kuwajibu wana CCM wanaosema mfumo wa Majimbo...
Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini.
Huyu si mwingine bali...
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.
Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.
Kwa muda mrefu Serikali ya Samia...
Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli...
Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala...
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema utaratibu wa ugawaji majimbo unaotumika kwa sasa sio sahihi hivyo vigezo vinavyotumika...
Vijana na kinamama wameonekana kuwa na kusitasita kujiunga na vikundi kutokana na takwa la kulipa deni la mtu yoyote atakae tokomea mara baada ya kupatiwa mkopo toka katika pesa ya kikundi...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amewataka vijana wanaopata mafunzo ya ufundi katika vyuo vya VETA kutumia vyema ujuzi wao...
Obeid Mwalopale Mkazi wa kijiji cha Matema kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya aliyemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kumjengea nyumba ya kuishi yeye pamoja na familia yake hatimaye...
Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025...
Wabunge wa Mkoa wa Simiyu wamesusia kongamano lililoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kihongosi kwa lengo la kuunga mkono Azimio la Mkutano Mkuu kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini...
After a long time of usage and public checkability! I have noted that:
1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025.
Na...
TAARIFA KWA UMMA
BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LIMEPOTEZA UHALALI
Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo kwenye kikao chake cha tarehe 10 Machi, 2025 imeazimia kutoshiriki vikao vya...
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma (SJMC) kwa miaka kadhaa kimekuwa kikitekeleza mradi unaojulikana kama 'Yearbook' ukiwa ni utafiti...
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 365 ZIMEKOPESHWA KWA WANAFASIHI NA LUGHA
Mfuko wa uwezeshaji wa mikopo ya kisekta kupitia mfuko wa Utamaduni na Sanaa umewezesha miradi 23 yenye thamani ya Shilingi...
Mnamo Februari 26, Mwaka huu Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza, kugawa au kubadili majina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.