Habari waungwana, twende moja kwa moja kwenye mada
Leo ni miaka miwili tangu Hayati Magufuli afariki, tangu kifo chake kumekua na hisia mbali mbali ,wapo wanao muunga mkono na wanaitwa sukuma...
Sema kuna muda hawa ACT wanapenda sana drama.
Hivi kweli unaaanda press then unaanza kuwaambia waandishi kwamba CCM ianze kujishughulikia wenyewe? Hawa wataweza kweli zile "siasa za mapambano"...
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.
Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.
Lakini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema bado hajaona dalili za wananchi kutokukiamini chama hicho kutokana na kazi iliyofanywa na chama hicho ya kuboresha maisha...
Wakuu,
Hivi wabunge wa CCM wanaposema Rais "ametoa" fedha wanamaanisha?
Kwamba zimetoka mfukoni kwake na sio kodi za wananchi? Au yeye ndo anaidhinisha kutolewa kwa hizo fedha? Na kama Rais ndo...
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola...
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Fadhili Maganya, amewataka baadhi ya watia nia wa nafasi za uongozi kupitia chama hicho kuacha kuwadanganya wananchi kwa kudai wamepewa maelekezo...
Wakuu,
Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa!
Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni...
Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli!
Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania BaraStephen Wasira, amewahakikishia wananchi wa mji wa Tunduma kuwa Serikali itawatatulia kero ya maji inayowasumbua kwa muda mrefu.
Amesema...
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.
Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi...
Tangu Serikali ya awamu ya sita ilipoingia madarakani Kituo cha uwekezaji Tanzania kimesajili miradi zaidi ya 1,275 ambayo imezalisha zaidi ya ajira 271,559 kwa watanzania wa maeneo mbalimbali...
Waandikishaji wasaidizi na waendesha BVR katika Jimbo la Kigamboni wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na wadau wote wa uchaguzi ili kuhakikisha uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unafanyika...
Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu.
Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za...
According to certain sources within government officials, the Tanzanian government is on the verge of unveiling a new region set to emerge from the Morogoro region. While the name of this...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.