Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miaka Minne ya Rais Samia Suluhu Hassan Tumeona ujenzi wa hospitali za wilaya 129, vituo vya afya 367, majengo 87 ya huduma za dharura, na majengo 30 ya wagonjwa mahututi (ICU) yote yakifanyika...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya...
1 Reactions
8 Replies
615 Views
Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka. Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga. UBAYA UBWELA =============
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi. Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo. Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu. Mama Siwale ni kati ya...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Machi 11, 2025 Jijini Dar Es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Leontine Nzeyimana Katika Mazungumzo yao...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Wakuu, Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM? Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki? Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake...
13 Reactions
81 Replies
5K Views
Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha...
1 Reactions
3 Replies
620 Views
Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka...
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba meengi yamezungumzwa kuhusu Shirika La Hifadhi ya jamii la taifa Nssf...Bado Jamii imezid kubakia njia panda na kukosa majibu yenye tija ya kuhusu nin hasa kinachoendelea na...
4 Reactions
94 Replies
22K Views
Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, uchumi na mwenendo wa biashara, Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya sheria ya leseni za biashara sura namba 208. Huu ni mwaka wa 50 tangu sheria hiyo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa: 1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja 2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na...
13 Reactions
238 Replies
22K Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Wakuu, Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu. Kijana mdogo kama huyu...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
TUNACHOPIGANIA SASA;- Serikali kwa kushirikiana na waekezaji wazalishe umeme wa megawatts 100,000 na zaidi ili kukuza maradufu Saughall za uchumi Unit moja ya umeme iuzwe sh 50 kwa matumizi ya...
13 Reactions
118 Replies
3K Views
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327. Tabora wamepata stend...
12 Reactions
56 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhani, amewataka wananchi wa Kata ya Kibingo, Wilaya ya Kyerwa, kuacha tabia ya kuwachagua viongozi wa...
1 Reactions
2 Replies
440 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…