Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la...
Heshima kwenu wakuu,
Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba...
Nakusalimu mheshimiwa Raisi.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana naandika haya kama mwananchi wa kawaida ambaye anapenda kuona wewe unafanikiwa. Huu ni ushauri, hivyo unaweza ukautendea kazi au ukaupuuza...
Air Tanzania Company Limited (ATCL) has launched direct flights between Mwanza and Dodoma, cutting travel time from 10 to 12 hours by road to just one hour and 20 minutes by air, in a move...
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo...
Wote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu...
Wakuu,
Kama mtakumbuka uzi wangu uliopita, nilieleza jinsi fedha za VIP Engineering zilivyosambazwa kwa wanasiasa wa chama tawala wakiwemo viongozi wawili wa juu wa Upinzani.
Sasa mambo yanaanza...
Napenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe.
People's, people's, people's...
Hiyo katiba mpya itakujaje huku mnahubiri vurugu, huku mnafanya uchochezi, huku mnahujumu uchumi wa nchi, inamaana viongozi wa chadema hawayaoni haya? Nadhani ni vihio/vilaza wote
Ukiwaona...
Katika mahojiano maalum yaliyorushwa na M&S Podcast, Juni 24, 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amefafanua kuwa kiongozi bora ni yule...
Kwenye vita huwa hatushambulii kulia, kushoto, mbele na nyuma lazima uache njia ya kukimbilia ukizidiwa.
Baada ya kusikia Mke wa Lissu na Dada wa Polepole kwenye bunge la Ulaya niseme kuwa hakuna...
Kuna viongozi wa awamu ya 6 wengi wao ni wasomi wa level ya PhD na Profesa kwenye finance bill ya bajeti ya 2026 wameamua kuwapa msamaha wawekezaji wa madini wasilipe share ya 16% na loyalty fee...
Utafiti wetu unaonyesha kwamba, katika watu 100, Watu 80 wanafuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema kote inakopita, huku Watu 20 Pekee wakifuatilia michuano ya kombe la Dunia, Hakuna...
Huu ni Mkutano wa Saa 6 Mchana, Wananchi wamesubiri tangu saa 12 asubuhi, wengi wao wakiwa na miswaki ya miti mdomoni na mataulo kiunoni
Tukutane Tunduma
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.
Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha...
Kadiri siku zinavyosonga mbele, PB ya Mawinguni inaonekana kupoteza sehemu ya mvuto na ubora uliowahi kujengwa na majina makubwa kama Masoud, Fetty na Siza.
Ingawa bado ina mashabiki wake, wapo...
Jukwaa la Vijana la CHAUMMA limeikosoa Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027, likidai ni "kiini macho" kinacholinda matumizi ya viongozi huku wananchi, hasa vijana...