Heat wave in Western Europe

Heat wave in Western Europe

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,387
Reaction score
6,480
Inatokana na nini? Kuharibu misitu? Kwani western europe hakuna misitu?

tuel,ishane
 
Inatokana na nini? Kuharibu misitu? Kwani western europe hakuna misitu?

tuel,ishane
Kwa miaka hii ulaya imekuwa ikikabiliwa na mioto ya misitu inayotokana na ukali wa jua kitu ambacho Afrika hakitokei. Juzi baadhi ya sehemu joto lilifika zaidi ya 38°c, kiwango ambacho Tanzania hatukifikii, hata hivyo wao ndio waharibifu zaidi wa mazingira.
 
Back
Top Bottom