Ole wenu viongozi mliobadilisha sheria ya madini

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,090
Reaction score
20,248
Kuna viongozi wa awamu ya 6 wengi wao ni wasomi wa level ya PhD na Profesa kwenye finance bill ya bajeti ya 2026 wameamua kuwapa msamaha wawekezaji wa madini wasilipe share ya 16% na loyalty fee ya 6% kwa watanzania!! Jambo ambalo ni kinyume na sheria ya madini ya mwaka 2 018

Muda unakuja mtalia na kusaga meno

View: https://youtu.be/ATEXhLtCFZk?si=7-RGFv4Y8r2JIgUd
 
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Ukisema taifa kuongozwa na mwanamke ni laana unaambiwa una ubaguzi wa jinsia,kuna vitu na maamuzi ya hovyo yanapitishwa ambayo madhara yake hata asiyekuwa na elimu yoyote anayajua ila watu wanaojiita wasomi wanayafumbia macho
 
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom