Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike...
Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la...
Dhamira ya kupata Katiba mpya nzuri ya vyama vingi ilikuwa kubwa kabla ya vyama vya upinzani kuvuruga mchakato kwa madai ya kuifufua Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka kamili.
Fedha nyingi...
Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her delegation have arrived at Wicknell Chivayoβs home to pay their last respects.
Cameras and mobile phones are not allowed, and there is a complete...
Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa...
Mheshimiwa Msomaji,
Husika na mada iliyotajwa hapo juu.
Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika...
Uzi huu unaendelea na uchambuzi wa Final Submission katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Antipas Lissu.
Katika sehemu ya kwanza, nilichambua hoja zilizotolewa na Tundu Lissu katika utetezi...
Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026
June 2026
Juba South Sudan
Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe...
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini...
Wakubwa shikamooni katika jukwaa Leo nimewiwa kuomba muongozo kwa wakubwa juu ya hali iliyo Sasa ya kimaadili , technology,
Je serikali imejipanga vipi kulinda uzao wa kizazi cha watu mahiri wa...
Kwa sasa hatuna haja ya maneno mengi, hii ni kwa sababu hakuna Mtanganyika asiyetuelewa
Tumeshindwa kuweka picha ya Mbunge aliyetimua mbio kwa vile spidi yake haikuwa ya kawaida, swala anasubiri...
Nini kifanyike ili Atcl iweze kutengeneze faida
Ni mda sasa kila CAG anaposoma report ATCL imekua ikipata hasara kwenye huu uzi ntaelezea namna ATCL itakavyopata faida
Jambo la kwanza kabisa...
Msikiti wa bilioni ngapi vile
Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi
Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa
Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala...
Nitumie salamu zangu za dhati za kuwakaribisha Wajumbe wote waheshimiwa wanaoshiriki katika Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika hapa Arusha.
Natoa shukrani zangu kwa IPU...
Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Nilikuwa...
Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana...