Pre GE2025 Nachingwea Girls wamshukuru Waziri Mkuu kwa fedha ya futari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,498
7,066
Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kwa ajili ya futari

Soma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa Nachingwea Girls

Akizungumza na Waandishi wa habari, Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Jamila Jirani amesema Futari waliyopewa na Waziri Mkuu imesaidia kuwajenga Wanafunzi kuwa pamoja na viongozi wa Serikali na kuongeza morali ya Walimu kufundisha.

 
Back
Top Bottom