Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo Tone tone Changia Chadema, 0744446969 Chadema HQ
12 Reactions
35 Replies
2K Views
WAISLAMU WA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI WAMUOMBEA DUA MBUNGE SHAMSIA MTAMBA KUENDELEA KWA MIAKA MITANO IJAYO Waislamu wa jimbo la Mtwara Vijijini wameonyesha msaada na upendo mkubwa kwa mbunge wao...
0 Reactions
2 Replies
445 Views
Wakuu Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la...
1 Reactions
5 Replies
502 Views
Mkuu wa Wilaya ya Gairo ndugu Jabiri Makame amewahamasisha wananchi wa Wilaya ya Gairo, Tarafa ya Nongwe kuchangamkia fursa ya Kilimo Cha Viazi Mviringo kwa sababu mahitaji ya zao hilo ni makubwa...
0 Reactions
4 Replies
504 Views
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na mambo aliyoyafanya kwa Taifa anaingia katika rekodi ya Marais bora...
2 Reactions
3 Replies
502 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu Boni Yai amefuturisha mamia ya Wananchi wa Kanda ya hiyo katika Iftari maalum iliyofanyika katika...
1 Reactions
6 Replies
898 Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Theresia Mtewele, amewataka Wananchi wa Wilaya hiyo kutunza mazingira ya vyanzo vya Maji ili kuendelea kupata Maji safi na salama. Mtewele amesema...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025...
1 Reactions
3 Replies
542 Views
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla...
1 Reactions
6 Replies
732 Views
Makada wake maeneo mbalimbali nchini wamegawanyika, wapo waoendelea kujipanga na kutangaza nia za kugombea urasi, ubunge na udiwani, huku wengine wakiwa na msimamo sawa na ule wa mwenyekiti wa...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
1. Mgombea Urais namba 5 mwaka 2015 na Waziri Mwandalizi (Mstaafu) Mambo ya Nje, Makamba. Ana taaluma gani mbali na Ubunge alio nao? 2. Ikitokea 2025 Chama kisimpitishe kugombea, itakuaje...
7 Reactions
77 Replies
6K Views
Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye...
0 Reactions
2 Replies
350 Views
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya. Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassani, amekubali kuendeleza ujenzi wa msikiti mkubwa wa Masjid Al-Huda, ulianzishwa ujenzi wake na Hayti Dk. John Pombe Magufuli...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, ametoa onyo kali kwa walimu wakuu wote wanaopinga uwepo wa klabu za kupinga rushwa mashuleni, akisisitiza kuwa serikali haitawavumilia wale watakaobainika...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) ikikamilika Mkoa wa Mwanza utakuwa kitovu cha biashara kanda ya ziwa. Kadogosa ameyasema...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Wananchi wa Kijiji cha Ushetu wamemkabidhi zawadi mbalimbali Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, kama ishara ya shukrani kwa kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kijijini...
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…