Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,723
- 2,762
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha.
Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Mashaka Gambo.
Soma Pre GE2025 - ARU - Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo