Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka...
0 Reactions
2 Replies
642 Views
Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari...
2 Reactions
10 Replies
761 Views
https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ ==== Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Binafsi Huwa nashindwa kuelewa hii Nchi inavyoweka na kuratibu mipango yake. Kwamba inakuaje tuwe na utitiri wa Wawakilishi wa Kisiasa ambao ni Wabunge badala ya kugawa maeneo ya kutawala Ili...
0 Reactions
6 Replies
458 Views
Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema. Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X, "Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama...
13 Reactions
105 Replies
3K Views
Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa...
1 Reactions
5 Replies
542 Views
Mwaka 2020 katika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, nikiwa nimevutiwa na Sera ya CHADEMA kuhusu kuanzisha utawala wa majimbo nchini Tanzania niliandika uzi kuonesha namna gani utawala huu...
2 Reactions
3 Replies
396 Views
Kwa mujibunwa taarifa ya Uchambuzi wa Uchumi kutoka BoT,Kwa mara ya kwanza katika historia ya 🇹🇿,sekta ya Kimo imeshika namba 1 na Kuongoza kama sekta kuu na Kiongozi wa kuchangia ukuaji mkubwa wa...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi. Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka...
29 Reactions
181 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi...
0 Reactions
17 Replies
819 Views
Kamati ya Bunge la Tanzania ya Nishati na Madini imefanya ziara mkoani Mbeya, hususan wilaya ya Chunya, ili kukagua miradi mbalimbali ya madini, ikiwemo shughuli za wachimbaji wadogo na wakubwa...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Nina imani Magufuli ataendelea kuwa rais si kwa sababu amefanya vema sana au ameutendea haki urais, ni kwa sababu zifuatazo: 1. Uchama Dola Piga Ua CCM isiposhinda kihalali inashindishwa, hili...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma SAU, Majaliwa Kyara amesema ili kulinda maadili, kuimarisha malezi na kutunza nguvukazi ya Taifa, kuelekea mwaka 2050 ni muhimu wanawake waajiriwa wakawa na...
1 Reactions
0 Replies
333 Views
Katibu wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga amewataka wazazi kuacha kushiriki mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri, akisema vitendo hivyo vinawaharibu...
1 Reactions
2 Replies
342 Views
Hakuna haja ya Kuchoka hadi Shetani Atokomezwe, na hii ni nafasi kwa wewe ambaye hukubahatika kushiriki mchakato wa mwanzo, Usikose Taarifa zaidi hii hapa
3 Reactions
25 Replies
839 Views
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija...
0 Reactions
21 Replies
972 Views
Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Back
Top Bottom