PreGE2025 Dkt. Tulia atoa misaada kwa wananchi wenye uhitaji Ilomba

PreGE2025 Dkt. Tulia atoa misaada kwa wananchi wenye uhitaji Ilomba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,765
Reaction score
2,878
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imefika Kata ya Ilomba na kuwapa msaada wa mavazi wananchi 22 wenye uhitaji.
1742728825168.png

Leo 23 Machi 2025 Tulia Trust itazifikia Kata sita za Ilomba, Mwakibete, Mwasanga, Tembela, Isyesye na Ruanda kukutana na Wahitaji ambao watapewa Msaada wa Mavazi, Wananchi 136 Wanatarajiwa Kufikiwa na Tabasamu la Tulia Trust
1742728864228.png

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom