Hawa Ni wananchi wa Mwanza, Nyamgana na Ilemela, nimejaribu kuuliza kama wanamfahamu mbunge wao na Mara ya Mwisho kumuona Ilikua Lini, Asee Majibu yao yatakufikirisha
CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi...
No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa
Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini...
Soka la bongo limepambaniwa miaka na miaka na hapa ligi yetu ilipofika kweli ni pakubwa kwakua ligi yetu ni ya tano kwa ubora Afrika na huu ni kweli kuwa kazi na uwekezaji mkubwa umefanyika. Hili...
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa imeonesha kushangazwa na kitendo cha Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kutokutoa kauli yoyote baada ya Katibu...
Nawashauri kipindi hiki kuelekea Oktoba na hatma ya uchaguzi mkuu jaribuni kuwa active. Wenzenu upande wa pili wako vizuri sana. Vijana wenu hasa kwenye online platforms waambieni wajaribu kwenda...
=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,
Mhe David Zacharia Kafulila...
Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora ACT Wazalendo, Shangwe Ayo, ametaka ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU),ili iweze kujadiliwa kwa kina na...
Unajua, huwezi kujenga chama bila clear policy positions.
CDM imekuwa ikikosoa CCM na serikali yake tu lakini criticism isn't policy. (Ukosoaji sio sera)
Watanzania wangapi wanajua msimamo wa...
Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana...
Mpaka sasa sioni dalili za kuzuia uchaguzi zaidi ya kupiga porojo kwa wananchi na kuzawadiwa samaki, wakati wa Magufuli wananchi walijaa kama hivyo lakini mwisho wa siku ulishindwa uchaguzi na...
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.
Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.
So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia...
Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii.
Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya...
Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kubwa kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika mwaka wa fedha 2023-2024.
Ripoti ya...
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi.
Kwa mujibu...
Niliachana na mambo ya Dini huu ni mwaka wa 10. Nilikuwa na amani na furaha wakati wote. Nilijawa na upendo kutetea lililo la haki na kutumia hekima na busara wakati wote.
Niligundua mapungufu...
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi...