Kafulila: Kuna Uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato hii ni moja ya sababu za Pato la Kila Mtanzania kuongezeka

TaiPei

JF-Expert Member
Aug 4, 2022
394
323

=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

Mhe David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,

Mhe David Zacharia Kafulila anaonesha umuhimu wa Ujenzi wa miundombinu ( Vitu ) katika kukuza uchumi wa huduma ambao nao unakuza uchumi au kipato Cha mtu mmoja mmoja( Watu)
 
Hongera sana Rais Samia, Elimu yako na ujuzi wako juu ya mambo ya uchumi Leo tunaiona faida yako. tukate tukubali huyu Mama kafanya kitu Tanzania
Hakika Mama anastahili pongezi nyingi
 
View attachment 2944740
=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

Mhe David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,

Mhe Kafulila amewatoa wasiwasi walioshtushwa na takwimu zilizotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali juu ya Kipato Cha Kila Mtanzania kufikia TZS 3M.

Mhe David Zacharia Kafulila anaonesha umuhimu wa Ujenzi wa miundombinu ( Vitu ) katika kukuza uchumi wa huduma ambao nao unakuza uchumi au kipato Cha mtu mmoja mmoja( Watu)

#Fungua hiyo Video na uisikilize mpaka mwisho then njoo u-comment.
Huwa namwelewa sana huyu jamaa
 
View attachment 2944740
=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,

Kafulila amewatoa wasiwasi walioshtushwa na takwimu zilizotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali juu ya Kipato Cha Kila Mtanzania kufikia TZS 3M.

David Zacharia Kafulila anaonesha umuhimu wa Ujenzi wa miundombinu ( Vitu ) katika kukuza uchumi wa huduma ambao nao unakuza uchumi au kipato Cha mtu mmoja mmoja( Watu)

#Fungua hiyo Video na uisikilize mpaka mwisho then njoo u-comment.
Watanzania vichwa ngumu sana
 
SIONI ATA HAJA YA AKINA LISSU KUGOMBEA AACHWE HUYU MAMA KWA HESHIMA ATUVUSHE MPAKA 2030.

Hongera sana Rais Samia, Elimu yako na ujuzi wako juu ya mambo ya uchumi Leo tunaiona faida yako. tukate tukubali huyu Mama kafanya kitu Tanzania
Kufanya Uchaguzi ni kupoteza pesa tu Samia atashinda tu
 
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,
1711514879901.png
 
SIONI ATA HAJA YA AKINA LISSU KUGOMBEA AACHWE HUYU MAMA KWA HESHIMA ATUVUSHE MPAKA 2030.

Hongera sana Rais Samia, Elimu yako na ujuzi wako juu ya mambo ya uchumi Leo tunaiona faida yako. tukate tukubali huyu Mama kafanya kitu Tanzania
Point
 
View attachment 2944740
=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

Mhe David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,

Mhe David Zacharia Kafulila anaonesha umuhimu wa Ujenzi wa miundombinu ( Vitu ) katika kukuza uchumi wa huduma ambao nao unakuza uchumi au kipato Cha mtu mmoja mmoja( Watu)
Hii ni nzuri sana, Mama anafanya kazi nzuri sana
 
Wabongo wengi wana very poor analysis ya shida zao against suluhisho...wewe jidai mtaalam kisha wauzie maneno matamu hata kama wanalala njaa watakuambia
"tunakukubalii tunakupendaaa mwaaah mitano tenaa au tukuongezee mudaaa tubadili katiba".
 
Back
Top Bottom