Nawakumbusha watanzania kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha sheria zote katili na kandamiza kama zile za makato ya Bodi ya Mikopo,Sheria ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na Sheria ya...
Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya...
Waziri wa zamani aliyetenguliwa, Jumanne Maghembe, apata ushindani mkali Mwanga Kilimanjaro
MNANDI MNANDI, Mtia nia wa ubunge katika jimbo la Mwanga mkoani kilimanjaro, leo amechukua fomu ya...
Zile tetesi zilizo kuwa zina semwa kuhusu huyu Mhandisi wa Kimataifa leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi.
Itakumbukwa kwamba jimbo hili lilikuwa chini...
Kijana Yazidu Msika naye amejitosa kugombea ubunge jimbo la Kilosa Kati akishindana na Profesa Kabudi. Ngoja tuone kama pumzi ya prof itammudu damu changa huyu zao la Kizunguzi
Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip...
Ndani ya CCM mpaka kufikia leo Majimbo ya Mwibara na Siha yanatazamiwa kuwa na kitimtim cha aina yake katika kile kinachotazamiwa kuwa wagombea walioomba ridhaa wote wanaeleweka huko juu.
MWIBARA...
Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la...
Mtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya...
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake...
Hatimaye malkia wa nguvu SELLA JASTON MKISI leo ameridhia wito wa wanawake dodoma kumtaka awawakilishe kwa nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoa wa dodoma baada ya kumsihi kutokana na harakati zake...
Waziri wa Uwekezaji, Angellah Jasmine Kairuki akichukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu...
Bado ninaamini kuwa ili uendelee tunahitaji mambo makuu manne:
1. Ardhi
2. Watu
3. Siasa safi
4. Uongozi Bora.
Kwa mwingi huo,Kira yangu nita mpa mgombea yoyote mwenye kuahidi:
1. Ataweka...
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro, leo Julai 14, 2020 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Arusha kuchukua fomu za kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, leo Jumanne Julai 14, Mwaka 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua kugombea Ubunge katika Jimbo la...
Mwenyekiti wa bendi ya African Stars (Twanga Pepeta), Asha Baraka akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
=====
Asha...
Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.
Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.