Uchaguzi 2020 Mhandisi Jumbe Katala achukua fomu ya Ubunge Iramba Magharibi kupitia CCM

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Zile tetesi zilizo kuwa zina semwa kuhusu huyu Mhandisi wa Kimataifa leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi.

Itakumbukwa kwamba jimbo hili lilikuwa chini ya Ndugu Mwigulu Nchemba na hakuna alicho weza kuwa fanyia wana Iramba zaidi ya kuchora mawe kutafuta Urais.

Ni muda muafaka sasa wana Iramba kuchukua maamuzi sahihi wammwambie Mwigulu kwamba kumi waliyo mpa inatosha.
Sasa ni zamu ya mhandisi wa Kimataifa Jumbe Katala ambae hata kabla ya kupata jimbo amesha onyesha ni mtu wa maendeleo.

Ameshajenga High School jimboni, ana miradi mingi inayo wasaidia Wana Iramba na ni mtu nyenyekevu na muelewa hata kupata kazi Benki ya Maendeleo ya Afrika kama Mhandisi wa miradi.. Wana Iramba twende na Jumbe Katala.

Pia soma >Uchaguzi 2020 - Twende na Mhandisi Jumbe Katala jimbo la Iramba Magharibi

katala.JPG
 
Dijamsikia Mwigulu kwenye kinyanganyiro..
 
Back
Top Bottom