Uchaguzi 2020 Wakili Albert Msando atangaza nia Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,483
2,000
Ndugu Albert Msando ametangaza nia hiyo muda si mrefu.

3212DB10-0045-4056-87C8-4251E7E7D250.jpeg

00DB440F-86C7-45FE-9E8B-F0CBCA7210E3.jpeg
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,879
2,000
Mbona anajihami sana na maneno yake ya kuhimiza umoja? afanye hivyo kwa vitendo mpaka siku ya kumtangaza mshindi Arusha Mjini.

Nimeshawazoea CCM, wengine wakidai haki yao kwenye uchaguzi kama kulalamikia kuibiwa masanduku ya kura mnadai wanafanya vurugu, nasisitiza hiyo haki anayoihubiri ni vyema aioneshe kwa vitendo.
 

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
5,288
2,000
Daah hiyo mikono ndio ilichezea ile "papa" ya gigy aiseee! 🤔 Maisha yanaenda kasi sanaaa.


Let's meet at the top, cheers 🥂
 

Gia kubwa

JF-Expert Member
May 28, 2020
475
1,000
Msando yuko vizuri mno upstairs!! ila Gigy kachafua CV kiasi ila ni ujana tu ule, akiwa mbunge itapendeza sana huyu ni jembe lenye makali ataitendea haki Arusha huyu kasoma special school Ilboru akili kama zote!! Arusha tumuunge mkono! Anafaa kuwa waziri wa sheria kabisa!! namshauri Mkulu asimtupe kijana huyu shupavu!
 

iamokay

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
973
1,000
Utatupa tabu kukunadi, hebu tumuachie Gambo aende.
Nimechungulia sanduku lako moja tu la wewe na Giggy nikaona wewe hutufaiiiii.
 

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,595
2,000
Arusha ni ya moto ....CCM Ina vifaa ile mbaya...
Jiji la kitalii kuwa na Mbunge Msela sio sawa wakati wasomi wapo

Maisha haya, Ina maana Akiwa Mbunge na Gambo Akashindwa ndo kimeshageuka hivo! Aliyemweka ndani yupo uraiani na yeye Mbunge
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom