Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa. Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Kwa sasa CCM ni kama chama ambacho kimechoka na kukata tamaa kabisa. Kimebaki kuendesha mikutano yake kama matamasha na kuzungusha watu Dar kwenda kujaza mikutano ya viongozi maeneo mengine...
2 Reactions
7 Replies
579 Views
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani. Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea. Arusha ni...
6 Reactions
92 Replies
5K Views
Wakuu, Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke? Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amekabidhiwa rasmi mkuki kama ishara ya ujasiri kuelekea katika mapambano yake yakuzuia uchaguzi.
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Siku kadhaa zilizopita Tundu Lissu aliukashifu ubunge wa Aida Kenani wa chadema kwamba ni wa kupewa na CCM Katika mkutano uliofanyika katika jimbo la Aida Kenani, mbunge wa chadema, mbunge huyo...
1 Reactions
5 Replies
738 Views
Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ? Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na...
9 Reactions
86 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa...
6 Reactions
14 Replies
881 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Akizungumza kwenye Mkutano huo kabambe wa Kusambaza No Reform No Election, Tundu Lissu Amemuelezea DC wa Wilaya hiyo aliyejaribu kuvuruga Mkutano huo wa Chadema kama kijana aliyejaa laana na mtu...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika kuadhimisha Wiki ya Mama, Timu ya Kampeni ya Mama Asemewe imefanya ziara katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo wameeleza umuhimu wa kuchagua viongozi bora kuelekea...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Asalam Aleykum, Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu, Mwanakondoo Ameshinda, Bwana ni Mwema. Ama baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Baada ya uchaguzi wa CHADEMA...
0 Reactions
2 Replies
487 Views
Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata? Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
33 Reactions
255 Replies
22K Views
Binafsi nashangazwa sana na mambo ya CCM na serikali yake, juzi tumeona wakiwa kwenye mkutaao wao mpaka watu wao walibebwa na gari la polisi lakini leo ajabu polisi haohao wanaagizwa na serikali...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Namwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Wananchi mkoani Tabora wametakiwa kutumia mfumo wa kidijitali wa E-RITA ili kurahisisha mchakato wa upatikanaji wa huduma za mamlaka hiyo vyeti vya kuzaliwa na vifo. Rai hio imetolewa na Afisa...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi...
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA hadharani kwenye Mkutano Mbeya, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarkani Soma Pia: Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…