Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa...
68 Reactions
190 Replies
21K Views
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja? Jamani, hizo pesa ni nyingi sana...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Mikopo ya awamu ya Tano; Treni ya kisasa ya SGR Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP) Daraja la Kigogo - Busisi Tanzanite Bridge John Kijazi interchange Mfugale Flyover Ubungo Bus Terminal JK Nyerere...
10 Reactions
90 Replies
4K Views
Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake. Wabillah Taufiq
4 Reactions
82 Replies
3K Views
Tulifikiri waziri mkuu huwa ni mtu wa busara sana mpaka watu walianza kumtabilia urais kisa tu kufoka foka enzi za zile za giza kumbe ni hewa tu. Badala ya kusisitza elimy ya juu iwe bora...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho...
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Wakuu, Kamati ya Ushauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera (DCC), imepitisha azimio la kubadili jina la Jimbo la Uchaguzi la Nkenge na kuitwa Jimbo la Missenyi, ili kuleta muunganiko wa kiutawala...
2 Reactions
8 Replies
631 Views
Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za...
11 Reactions
70 Replies
7K Views
Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Mnadhimu mkuu wa jeshi (Chief of staff) Lt. gen Shimbo ataagwa rasmi kesho. Kamanda huyu anastaafu kwa mujibu wa sheria za jeshi za kutimiza umri wa kustaafu baada ya kuongezewa muda wa kustaafu...
7 Reactions
100 Replies
17K Views
CHADEMA na hata ACT Wazalendo kila mara wamemtaja hayati Magufuli ndiye aliyeharibu demokrasia na haki za watu, LAKINI kuendelea kumsema marehemu ni kupoteza muda. Maana hata kama ikiwa ni kweli...
5 Reactions
9 Replies
620 Views
...Rais Kikwete amemteua mstaafu A. Shimbo kuwa balozi wa Tanzania nchini China. Source: TBC1 Habari Hivi hii teuzi ina merit kweli?....hivi hata tukiongelea diplomatic experience. Is it...
0 Reactions
252 Replies
34K Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Pascal Chibala amehamia na kutangazwa rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chibala ameeleza kuwa utekelezaji...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua...
10 Reactions
144 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 15/11/2021 shahidi wa 'Diary' anaendelea ikitarajiwa maamuzi kwenye kesi ndogo katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Kujua kesi ilipoishia...
29 Reactions
231 Replies
40K Views
Katika kipindi Cha hivi karibuni Chadema wamezindua kampeni ya 'No reform -No election' (NRNE). Lissu kama mwenyekiti na icon ya chama amejikita zaidi kuelezea ubovu wa katiba na Sheria mbovu...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
=== Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi...
33 Reactions
352 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…