Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana...
4 Reactions
202 Replies
11K Views
Leo Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho. So sifahamu kama Freeman Mbowe naye atatangaza nia ya kugombea nafasi hiyo na kama...
2 Reactions
8 Replies
936 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe alisema Maridhiano yaliwezesha Chadema Kupata Ruzuku na wakanunua Jengo la Makao Makuu Sasa miongoni mwa watu waliowezesha Maridhiano kufaulu ni ndugu yetu...
1 Reactions
4 Replies
374 Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama kiongozi, ni chama kilichobeba Matumaini ya watanzania, ni chama kilichobeba hatima ya Taifa letu, ni bima ya watanzania na chama kilicho na heshima na...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Mbowe akiri kwamba 4R za Samia zimeibeba Chadema
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
0 Reactions
1 Replies
257 Views
Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi...
4 Reactions
13 Replies
814 Views
Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama ulidhani Wagombea wa Chadema ni hao waliojitokeza hadharani basi badili mawazo yako haraka sana. Taarifa mpya zinadokeza kwamba kuna kigogo mwingine mzito ndani ya Chama hicho atatangaza...
14 Reactions
111 Replies
4K Views
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano. Hayo ni matokeo ya...
1 Reactions
2 Replies
494 Views
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum. Sasa nawataarifu...
57 Reactions
298 Replies
24K Views
UTANGULIZI Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Kwenye hotuba yake ya kutangaza kuendelea kuutaka uongozi wa CHADEMA, alisema kuwa kuna watu wanasema Mbowe amechoka, katika kulijibu hilo, akasema kuwa yeye bado ana nguvu, ana uwezo wa kufanya...
7 Reactions
18 Replies
849 Views
NIPASHE JUMAPILI MAKALA Vyombo vya habari viwezeshwe kuwatendea haki Watanzania By Pascal Mayala , Nipashe Jumapili Published at 07:50 AM Nov 24 2024 NIMEBAHATIKA kuhudhuria mkutano wa wadau wa...
2 Reactions
2 Replies
370 Views
Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa CHADEMA, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake. Hata hivyo, kati ya mawasiliano...
13 Reactions
48 Replies
5K Views
Wasalaam. Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema...
20 Reactions
30 Replies
2K Views
Chadema msingi wake siyo kushika Dola bali kukamata Fursa za kiuchumi na hii ilifafanuliwa vizuri sana na muasisi wake Mzee Tuntemeke Sanga Lakini pia imefafanuliwa vizuri na Ezekiel Wenje juzi...
1 Reactions
7 Replies
473 Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa...
19 Reactions
142 Replies
8K Views
Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo...
4 Reactions
11 Replies
822 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…