Wolle Melkas Fernando
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 284
- 396
Kauli ya Mwenezi CCM Taifa, Comrade CPA Amos Makalla kwamba Chadema wanakusanya Pesa ili wanunue virusi vya Ebola na M-Pox kusambaza Tanzania na kuzuia Uchaguzi usifanyike, ni dhahiri Nafasi hiyo imeanza kumpwaya.
Na hii ni kufuatia Kampeni ya Chadema inayoendelea ya "No Reforms, No Election"
Kampeni ya Chadema inaonekana mwiba mkali sana kwasababu CCM kumekosekana viungo washambuliaji.
Kama ilivyo kwenye game ya Mpira kocha akiona Kuna mchezaji hamalizii mipira golini hulazimika kumtoa nje na kumwingiza mwingine kuziba gaps, ndivyo ilivyo hata kwenye Siasa. Natumaini Mwenyekiti wetu mama Samia atasuka upya kikosi.
Kuepuka aibu ya Chama Katika Karne hii ya leo, nashauri kauli ya Makalla ibaki kuwa ni kauli yake binafsi, na si kauli ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kwa Kizazi hiki (Elite Generation/Gen Z) huwezi kutumia Propaganda za miaka ya 1970's huko.
Nilishasema tangu mwanzo kuwa Tundu Lissu sio Freeman Mbowe.
Ogopa sana mtu anayeweza kukikosoa hata Chama Chake kinapokosea, hizo ni hulka na Kaliba za mtu kama hayati Magufuli, hakufumba macho kukemea maovu ya Chama hadharani.
Hawa watu wamejipanga Kwa hoja na sio Propaganda. Kwahiyo ccm pia tuwe tayari kwenda nao "Bampa 2 Bampa" "Hoja Kwa Hoja" "Mguu kwa Mguu". Tusiishiwe hoja!
𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐊𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐞 𝐂𝐂𝐌 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐊𝐚𝐦𝐩𝐞𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐂𝐡𝐚𝐝𝐞𝐦𝐚 𝐲𝐚 '𝐍𝐨 𝐑𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦𝐬 𝐍𝐨 𝐄𝐥𝐞𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧?" 𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐡𝐨𝐣𝐚?
1. Ni wakati wa ccm kufanya "Reforms" zake ndani ya Chama kabla ya hiyo inayodaiwa na Chadema.
2. Vita ianzie online mpaka kwenye FIELD ikiwa na watu smart wa kujibu hoja zenye mashiko na ushawishi zisizoacha Maswali wala Kuleta taharuki.
3. Chadema sio ya kuidharau ni Chama Kikubwa, kina wasomi na wajenga hoja wazuri na wahamasishaji wazuri, wenye uwezo wa kutumia lugha rahisi Katika kuelezea masuala magumu ya Kitaifa.
Kwahiyo CCM iache kutumia Machawa wanaosifia kila wakati hata pale mambo yanapokuwa yanaharibika. Machawa yanakipoteza Chama.
4. Mwenyekiti wa Chama na Rais wa JMT, Mh. Mama Samia, atumie Nafasi yake ya Uenyekiti kushawishi Halmashauri Kuu ya Taifa kuridhia kuwateua viongozi wapya kubadilisha Upepo wa Kisiasa, ukizingatia Katibu Mkuu wa sasa Dr. Emmanuel Nchimbi siku chache zijazo atakuwa Mgombea mwenza Nafasi ya Urais. Kwahiyo kwa maoni yangu ateue wafuatao:
i)Dr. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama na Mzee Wasira apumzike.
ii) Paul Makonda kuwa Katibu Mkuu wa Chama kuchukua Nafasi ya Dr. Nchimbi.
iii) Ndugu Balozi Humphrey Polepole kuwa Mwenezi Taifa, halafu Ndugu Amos Makalla naye apangiwe majukumu mengine.
Hapa CCM itakuwa moto, Haitapoa.
5. CCM iache propaganda zile za ukiwapa wapinzani wataleta Vita, au kama hiyo kauli ya Kununua Ebola na M-Pox. Tujikite kwenye Hoja zaidi, Chadema ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya Mbowe.
Machache ya Chama changu CCM kufanyia kazi ni hayo.