Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao. LAKINI.. Hawa CCM...
5 Reactions
75 Replies
3K Views
Hili kitambo tulihoji ila mahaba yakizidi chongo huitwa kengeza sijaongeza......
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kampeni ya No Reforms, No elections imepata upinzani ndani na nje ya chama cha Chadema. Ndani ya Chadema, kuna kundi ambalo linaona kabisa kuwa kampeni hii itawatoa kwenye malengo yao ya kisiasa...
3 Reactions
12 Replies
804 Views
Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki. Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na...
11 Reactions
57 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election. Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
43 Reactions
136 Replies
5K Views
Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia anajiita yuko katika...
3 Reactions
2 Replies
400 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini, Wilaya ya Songea, alipokuwa...
1 Reactions
3 Replies
481 Views
Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
ABDUL KAMBAYA: KAZI NA UTU INAAKISI MAONO YA UONGOZI WA CCM Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Komredi Abdul Kambaya amesema Kauli mbiu ya "Kazi na Utu" haijaja kwa Bahati mbaya kwa Sababu...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika Waraka wake wa Kwaresma limesema Wizi wa Kura na Watu kukatisha Maisha ya Wengine ni Donda ndugu nchini Tanzania na Africa TEC imesema...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake...
2 Reactions
3 Replies
497 Views
Hata Mbowe angekuwa Mwenyekiti No reform no election ingepingwa na watia nia kugombea Lisu asijiliwaze kupitia Mbowe Watia nia wamejiandaa muda mrefu kugombea ubunge na udiwani kwa gharama kubwa...
2 Reactions
5 Replies
375 Views
Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
0 Reactions
4 Replies
349 Views
Sababu ziko nyingi lakini kwa uchache tu haya ndio yanayooneka waziwazi: 1. Wameshindwa kuvunja makundi waliyoyatengeneza kipindi cha kampeni za uchaguzi wao wa ndani. Makundi yanazidi kukomaa na...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli. Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ivi watanzania sijui ni nani alie tuloga? NYERERE angekuwa na roho ya uoga kiasi hiki mpaka leo tusingepata uhuru. Nimesoma hoja zao hao G55, hazina mashiko zaidi ya uroho,ubinfsi, na tamaaa, za...
17 Reactions
71 Replies
2K Views
Tulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na...
5 Reactions
18 Replies
772 Views
Katika operesheni za mwishonimwishoni chini ya uongozi wa Freeman Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni hii operesheni ya No Reforms no Election. Operesheni hii ilipitishwa na vikao vyote vikuu vya...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewataka watendaji wa chama hicho kuhakikisha wanatekeleza mambo yanayojibu changamoto za wananchi, akisisitiza kuwa CCM si...
1 Reactions
6 Replies
485 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…