Zitto Kabwe: IPTL ni dude linalofufuliwa kila Awamu

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Screenshot 2025-03-28 102317.jpg

Soma, Pia: CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127

IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya rufaa. Kampuni haipaswi hata kuwepo kwenye rejesta ya BRELA. Yeyote anayethubutu kurudisha mzimu huu atazikwa nao

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Mwanasiasa
Machi 27, 2025
 
Majizi yameanza kuwa too comfortable hawamu hii, yaani hawana hata chembe ya soni.

Ingelikuwa Magufuli raisi Kichele foul ya IPTL anayotaka kuiibua kwa maslahi yake, si ajabu sasa hivi habari ingekuwa raisi atengua nafasi ya CAG (to hell katiba inasema nini).
 
Ofcourse wamekuwa confortable becaus uongoz uliopo dont threat them, haupo dangerous kwao anymore

Hii ndio hali yetu
 
IPTL ni mitanzania ya hapa bongo, na hiyo mijitu ndio yenye sumu zote za kuuwa wenye viherehere nchini haijarishi hata kiongozi wa nchi

Kama ilishaamriwa na Mahakama za Rufaa ikaisha, kwa nini liibuke kwenye serikali inayoongozwa na mtu mpoole mama wa watu?
 
Zitto huna tena credibility yoyote ya kuongelea au kukemeq ufisadi/ubadhilifu wowote wa mali za umma, ulishapoteza stahiki hiyo tangu uanze kuwa chawa wa awamu ya sita.

Zitto wa kumsikiliza ni yule aliyekuwa Chadema na sio huyu wa sasa.
 
Majizi yameanza kuwa too comfortable hawamu hii, yaani hawana hata chembe ya soni.

Ingelikuwa Magufuli raisi Kichele foul ya IPTL anayotaka kuiibua kwa maslahi yake, si ajabu sasa hivi habari ingekuwa raisi atengua nafasi ya CAG (to hell katiba inasema nini).
We huna akili kumbe! CAG anakagua mnayoyafanya haibui chochote yeye anakuja kuomba kuona unachokifanya sasa kama anakuta unasema unadaiwa na yeye anaandika hivyo ulivyosema. Uliza kabla hujachangia utumbo wako hapa
 
Nipo sahihi kwa asilimia 100 waislamu ndiyo wana hujumu taifa wengi wao wanashirikiana na raia feki ....tanzania itaokolewa na wakristo na wapagani wa watu wa dini za jadi ila siyo waislamu kamwe .....kuendelea kuwapa uongozi waislamu ni kuharmtarisha taifa ...sifa ya kiongozi muislamu ni kutukuza na kuwaabudu ..mabeberu na waarabu na kufanya uadimui na kila mzalendo.
Kwa serikali ya CCM hamna mkristo wala muislam wote wahafidhina wa chama Chao,hapa kuwakataa ni CCM bila kuleta mambo ya kidini.
 
Soma, Pia: CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127

IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya rufaa. Kampuni haipaswi hata kuwepo kwenye rejesta ya BRELA. Yeyote anayethubutu kurudisha mzimu huu atazikwa nao

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Mwanasiasa
Machi 27, 2025
Wakiambiwa hii mikataba ya wizi kama ya Adinani na DP weldi na Nia Yao ni kuwapiga wabongo watapinga
 
IPTL ni mitanzania ya hapa bongo, na hiyo mijitu ndio yenye sumu zote za kuuwa wenye viherehere nchini haijarishi hata kiongozi wa nchi

Kama ilishaamriwa na Mahakama za Rufaa ikaisha, kwa nini liibuke kwenye serikali inayoongozwa na mtu mpoole mama wa watu

IPTL ni mitanzania ya hapa bongo, na hiyo mijitu ndio yenye sumu zote za kuuwa wenye viherehere nchini haijarishi hata kiongozi wa nchi

Kama ilishaamriwa na Mahakama za Rufaa ikaisha, kwa nini liibuke kwenye serikali inayoongozwa na mtu mpoole mama wa watu?
Kuna watu nchi hii bila kufa IPTL itaendelea kuepo sana Magufuli ilibidi awamalize wote wahusiki wa IPTL kwa riasasi wengine wawekwe kizuizini yule singasinga ni Bosheni tu
 
Back
Top Bottom