Nimewasikiliza G55 kwa makini wana hoja za msingi wanazotoa na dhana nzima ya No Reform No election na changamoto za no election kama mkakati wa utekelezaji. Nimemsikiliza TL kuhusu dhana na...
Niende moja kwa moja katika mada,napenda kuchukua fursa hii,Kwa kuwapongeza viongozi wandamiz wa CHADEMA,Kwa kuwafukuza wasaliti wote wa chama,
Ni Bora wabaki wachache waliosafi kuliko kubaki...
"Nyie waandishi, hivi mmewahi kumfuata mwenyekiti wa chama mkamuuliza nia yake ya kugombea Urais aliyoandika barua ameshaituma kwa katibu mkuu? Mlishawahi kuuliza hilo swali? kwahiyo na sisi ni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tawi la Msimbazi (maarufu Msimbazi Mama) kimemtaka mqanachama wa Chama hicho, Patrick John Asenga kuwasilisha barua ya kujieleza kufuatia taarifa...
John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko.
Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani...
Najua haiwezi kuwa Rahisi Hivyo ila ili Kuboresha uchumi wa nchi, kuongeza ajira, ufanisi, na maisha ya Watanzania kunahitaji mkakati mpana unaohusisha sekta mbalimbali. Hapa kuna ushauri na...
Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli.
CHADEMA wana utaratibu wa...
Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba.
Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri...
Tarehe 04 Aprili, 2025, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba ametimiza mwaka mmoja wa UTUMISHI wake tangu alipoteuliwa na Rais wa...
“G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi...
Masaa machache yaliyopita kwenye akaunti yao ya mtandao wa Facebook, Chaneli ya Azam TV wamerusha habari kuhusu aliyoyasema Katibu Mkuu wa CCM kuhusu CHADEMA na Agenda yao ya No Reform No...
Kuna hoja za msingi zilizoibuliwa na taasisi na watu mbalimbali kwa nyakati mbalimbali kuhusiana na shetia mbaya za uchaguzi na Tume isiyo huru ya uchaguzi.
Tume ya jaji Nyalali mwaka 1991...
NI KWELI KABISA
1. Ni kweli kabisa, Hotuba ya Mh. Rais siku ya Idd ilikuwa na nia njema.
2. Ni kweli kabisa, si wote waliotajwa na Mwanaharakati Huru Musiba, walikuwa wakijibu hotuba hiyo.
3...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira...
Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza...
Wakuu,
John Mrema ameendelea kutoa cheche kuhusiana na msimamo wa CHADEMA wa kuzuia Uchaguzi, akisema kuwa agenda ilianza mwaka 2020 January na haikuanza mwaka 2024 kama ambavyo baadhi ya watu...
TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.
NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO.
Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia...
CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?
Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira.
Kauli hiyo ameitoa...