Uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba sio la chama fulani kinataka au hakitaki
Uchaguzi mkuu kufanyika hata kikiwa chama kimoja tu ndio kinataka uchaguzi vingine vyote havitaki
wanaodhani hauwezi...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii...
Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao...
Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani.
CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge la Kumi na Mbili unatarajiwa kuanza Jumanne, tarehe 8 Aprili 2025, ukiwa na lengo kuu la kujadili na kuidhinisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa...
Wewe ni nani? Ni Nini
Mama Tanzania
We ni wapi ni yupi
Maji na bahari,maji baridi
Kwenu ni wapi asili ni ipi
Iwe karibu nyumbani
Kilimanjaro,Dunia juu zaidi
Watoto wako ni wapi
Wavivu? Walegevu...
Tangu kundi la G55 linalohusisha makada wa Chadema wanaotaka chama hicho kishiriki uchaguzi, kumekuwa na maswali mengi kuhusu malengo ya kundi hilo.
Kundi hilo linakuja na msimamo wa kutaka...
Kwa kifupi sana G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani.
Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia...
Friends and Our Enemies,
Kwa kinachoendelea hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kitu ambacho kilionelana tokea mwanzo kabisa kuwa kinakuja kutokea,nacho ni MPASUKO...
Hatuwezi kufurahia MPASUKO huo...
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi...
Wananchi wa Naipanga, jimbo la Nachingwea wasimamisha msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu uliokuwa unaelekea Masasi. Mwenyekiti akasimama kuwasalimia wananchi hao...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya "AMKA TWENDE NA SAMIA 2025"
Wamefanya tambiko...
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi...
Wajumbe wa Kamati:-
1. Mhe. Jaji Mark Bomani- Mwanasheria Mkuu Mstaafu na Wakili wa Kujitegemea
2.Mhe. John M. Cheyo – Mbunge Bariadi Mashariki
3.Mhe. Iddi M. Simba – Mbunge Mstaafu Ilala
4.Mhe...
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema...
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha...
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu...