MBUNGE LUSENGEKILE AMPONGEZA PM MAJALIWA KWA MABADILIKO YA KITAIFA
Mbunge wa Busega Mkoani Simiyu, Simon Songe Lusengekile, ametoa wito kwa wananchi wa Ruangwa, Mkoani Lindi, kuendelea kumuamini...
"Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia...
MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze...
Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam...
Mbunge wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Musukuma, amesema kuwa kampeni ya No Reforms No Election inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haina nafasi ya kufanikiwa kwa sababu...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika.
Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na...
Wakuu,
Kwa sasa kinachotrend hapa Tanzania ni shtaka la Tundu Lissu kuwa ni mhaini.
Kama mnavyokumbuka Tundu Lissu amekuwa aki-push sana agenda ya mabadiliko kupitia No Reforms No Election...
Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.
Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea wanachama wapya zaidi ya 70 kutoka Chama cha Wananchi (CUF), wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kaskazini, Vedasto Ngombale.
Wanachama hao walipokelewa...
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati.
Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na...
Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku...
Katika pitapita zangu nikasikia watu waliokuwa wamekaa kijiweni wakimsifia Jaji aliyekuwa anaitwa LUGAKINGIRA kuwa alikuwa akisimama kidete kwenye nafasi yake bila kufuata maagizo au kuegemea...
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.
Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa...
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana...
Naona mashitaka dhidi ya Lisu yamejikita kwenye mambo mawili; kwamba amesema uongo na pili uhaini.
Kwanza, kusema uongo; kama kweli serikali ya Tanzania ina umakini wa kiasi hicho kuhusu...
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha...
TANGAZO KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi kinawatangazia Wanachama wake kwamba, mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea nafasi za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani, kwa ajili...
Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu...