Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hellow! Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu, Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
450 Views
Za chini ya kapeti ni kwamba mtu anayetiliwa mashaka na kuangaliwa kwa jicho baya ni Mnyika kwa sababu alikuwa na cheo hicho wakati wa More, anahisiwa kuuza siri Mangi amefanikisha kumlisha...
0 Reactions
5 Replies
537 Views
Watuhumiwa watano akiwamo katibu wa Mbunge wa jimbo la Kilolo Kefa Walles, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi kupitia CCM wilaya ya Kilolo Hedikosi Kimwaga, Diwani kata ya Nyanzwa Boniface Ugwale...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama. Kazi...
6 Reactions
13 Replies
890 Views
Ukumbusho wako wa kirafiki kwamba kumekuwa na ushirika kila wakati. Tangu zamani mpaka sasa... Duniani kote.. Kuwa mshirika... Jiunge na mtandao Jenga jumuiya yq wazalendo wa Tanganyika Kuza...
9 Reactions
18 Replies
662 Views
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete leo amekuwa miongoni mwa wabunge wabunge la Tanzania walioshiriki zoezi la uoshaji magari ya watu mbalimbali kwa lengo la kupata fedha...
17 Reactions
126 Replies
6K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha. Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea...
41 Reactions
47 Replies
3K Views
Sikiliza hii afu ndo utaelewa kwa nini hatutaki uchaguzi uchwara.
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma...
1 Reactions
8 Replies
577 Views
Wa Tanzania nawaomba tunapokaribia kipindi hiki cha uchaguzi ni vizuri kumushilikisha Mungu. Wa Tanzania Tuna dini 1: Wakristo 2: Waislam 3: Wapagani Sasa ni wakati wa kila mtu kwenda mbele...
0 Reactions
7 Replies
414 Views
Katika video inayosambaa mitandaoni hivi leo, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, anasikika akitoa kauli zilizojaa jazba, dhihaka na matusi kwa serikali, huku akikosa kabisa hoja mbadala au...
0 Reactions
5 Replies
460 Views
Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.
2 Reactions
5 Replies
466 Views
CCM.wana strategy za kishamba sana. Wanajua leo.watu.wako.busy na simba sasa wanatumia.upenyo huo kumkamata lissu. Soma Pia: Polisi wamkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay Kwa kweli sisi hizo...
1 Reactions
3 Replies
502 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hali ya siasa na utekelezaji wa demokrasia nchini umeendelea kuimarika kutokana na maboresho ya mifumo na jitihada...
0 Reactions
8 Replies
736 Views
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake. Amesema hayo Aprili 8, 2025...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Akili zangu za usiku wa kuamkia leo zimenituma kuwaza hivyo. Yawezekana katabia ka kufanya udalali ndiko kalikokuwa kanazuia CHADEMA wasitangazwe washindi ngazi ya Rais hata kama ni kweli...
9 Reactions
22 Replies
919 Views
Tanzania tumepitia kipindi kigumu sana ndani ya uongozi uliopo madarakani kwa sasa Tumeona kila aina ya uchawa wa viongozi wetu kwa kumpaka mafuta namba1 kwa mgongo wa chupa aka UCHAWA!! Kila mtu...
7 Reactions
14 Replies
907 Views
Wakuu, "Tulipoimba ule wimbo pale hatuna tena Deni, na Rais Samia Suluhu Hassan, Mimi ningekuwa mwandishi wa habari, habari yote leo ingekuwa kwenye Taarifa ya Habari, tukicheza kama...
1 Reactions
15 Replies
882 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…