Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza.
Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu...
Wakuu mnakumbuka hoja ilipowasilishwa bungeni ili kujadili kuhusu masuala ya usalama nchini na utekaji uliokithiri mpaka kusababisha kifo cha Ali Kibao? Nini kilitokea?
Tulia alishupaza shingo...
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais, kwa haraka haraka hapo ulipo...
Wananchi wameanza kupata maono kama kuna mtu ameibuka kuwapambania juu ya maslahi yao na taifa lao.
Tofauti na yule Jamaa aliyekuwa anaenda Ikulu kunywa juic za Ceres.
Na hii inakuja kuleta...
Mtu umesambaza mabango nchi nzima lakini bado hukubaliko unategemea dola ikubebe
Mwenzako hana bango hata moja lakini mziki wake unakunyima usingizi
Hakika kibaya chajiuza, chema chajitembeza...
Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0
UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26
“Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki”
Utangulizi...
Wahenga Walituasa usitukane Mamba kabla hujavuka mto.
Usidharau Wakunga na uzazi ungalipo.
https://x.com/YerickoNyerereT/status/1909969609769300194?t=qjWPlAvIia2sU3LbNWK6Vg&s=19
My Take
Tuwe na...
Mbunge wa Jimbo la Biharamlo Magharibi, Ezra Chiwelesa akiipongeza Klabu ya Simba na Benchi la ufundi Bungeni ameitaka Serikali ifanye jitihada za haraka kuboresha uwanja wa Mkapa ili mechi ya...
Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea.
Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama...
kama tunavyojua muda hausimami muda unakimbia tufanye magufuli tunaye hadi 2025
je ni nani atapeperusha bendera ya ccm mwaka wa 2025?
huu ni mjadala unaondelea chini kwa chini kwa sasa kila...
Leo, kwenye uzinduzi wa ukawa kitu ambacho nimeona,
1) Mbowe analazimisha kitu ambacho akiwezekani kabisa kabisa, kwenye uzinduzi sikusikia point za maana kabisa tofauti na marudio ya magufuri...
Anasema Lisu nyota yake inangara sana, akiichezea hataipata tena. Anakubalika na kila mmoja. Asipoteze nafasi , asipoteze kete hii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 10, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali...
SHIKWAMBI maana yake ni shinda kwa mbinu
Kwa sisi wazee wa kwenye siasa za mchangani ukisikia mtu analalamika mambo magumu ujue kwenye siasa anafikiria mbinu mpya
Shikwambi ya 2020 bado...
Wanabodi,Huu ni mwezi wa wanavyuo au Graduate kuhitimisha safari yao vyuo vikuu ,Kwa ufupi ni kipindi cha Graduation au Mahafali
Pongezi za kwanza ni kwa Rais Magufuli ambaye aliamua hawa vijana...
Meya mstaafu wa jiji la Dar es Salaam, Boniface Jacob, amesema kuwa alipokea taarifa kwamba Jumanne, tarehe 10 Septemba 2024, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kupitia Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa...
Nchi mbalimbali zimeamua kuwalinda wazalishaji wake na Uchumi wa Nchi zao Kwa kuongeza Ushuru wa bidhaa za Marekani kama nayo ilivyowaongezea wengine.
Kujikalisha kimya Kwa watu wenye maamuzi ni...
Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa.
Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi...
HALI ya kisiasa jimboni Nzega Mjini kwa Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe ni mbaya tofauti kutokana na kutokubalika na wananchi licha ya kutumia fedha nyingi kugawa kwa wajumbe na baadhi...