Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu .
Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema...
Rostam Aziz ameomba radhi kwa majaji akisema ulimi uliteleza na hakumaanisha ambacho alikisema kuhusu majaji kuhongwa. Nadhani amefanya jambo la kiungwana sana.
===
Leo Jumanne July 4, 2023...
YAMETIMIA, BWAWA LA MWALIMU NYERERE LAKAMILIKA, SASA KUANZA KUZALISHA MEGAWATT 2,115
Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JHPP), ambao umegharimu Shilingi Trilioni 6.5, leo umefikia hatua muhimu...
Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais β Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
My Take
Kwa.kauli hizi za Lisu,ni mtu mpumbavu tuu ndio atakubali Kujaribu amani Kwa maslahi ya Kibaraka Lisu na waliomtuma.
Ana passport ya Ubelgiji,familia yake Iko Nje ya Nchi ,wewe wa...
Kwa kiasi fulani wafuasi wa Tundu Lisu wanafanana na wafuasi wa Yesu kristo wa Kwenye biblia!
Kulingana na stori za kwenye biblia na pia video za maigizo ya maisha ya Yesu kristo za BRIAN DEACON...
Waziri Kombo akutana na Wabunge wa Hungary
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Wabunge wa Bunge...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza umuhimu wa kuangazia maeneo yenye tija kwa maendeleo ya pamoja kati ya Tanzania na...
πͺππππ₯π ππ’π ππ’ ππͺππ¦πππ π‘ππππ‘π ππ‘ππ’ππ
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Luanda, Angola ikiwa ni sehemu ya maandalizi...
Rais Samia leo Aprili 9, 2025, anatarajiwa kutembelea kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta cha Luanda Oil Refinery ikiwa ni siku ya tatu na ya mwisho ya ziara yake ya kikazi nchini Angola.
Ziara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro, jijini Luanda, leo Aprili 7, 2025 kwa ziara ya kiserikali ya...
RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI NCHINI ANGOLA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Ziara yake ya Kiserikali ya siku 3 nchini...
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara, Chacha Heche mapema leo amefika kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere akiwa na ujumbe wake wenye vielelezo vya matukio yaliyojitokeza katika chaguzi za TanzAnia...
Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi, sikiaeni hoja za wapinzani mzifanyie kazi wakose hoja lakini hii kamata weka ndani kuna siku itakua mbaya.
Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki...
Makala ya Kitaaluma
Na Alloyce, P.R.
Utangulizi
Katika historia ya siasa za Afrika na duniani kwa ujumla, mara nyingi jamii imekuwa ikiwachukulia wanasiasa wote kama viongozi. Mwelekeo huu...
Wakuu,
Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!
====
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na...
Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea...
Hilo kosa la uhaini litaishia Polisi , ila mahakamani hamtalisikia.
Ikitokea limeingia mahakamani, basi mjue ni swala la muda tu kabla halijafutwa.
Hii ni mbinu tu ya kujaribu kumtisha Lissu na...