Tetesi: Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
16,875
18,871
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..

kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...

makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....

katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..

makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...

na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..

ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?:pulpTRAVOLTA:
 
Kwa tume hii ya uchaguzi, na kwa serikali hii ya CCM... Amin Amin nakuambia Sio Samia tu, Hata Mwijaku, au Steve Nyerere, au Bambo, au Hili dogi langu.. au yeyote au chochote kitakachosimamishwa na CCM kugombea Urais wa nchi hii, ushindi wa 90% hauna mjadala.

Amini amini nakuambia.
 
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..

kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...

makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....

katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..

makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...

na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..

ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?:pulpTRAVOLTA:
Atapata 100% kwasababu wapiga kura wanaojitambua hawatajitokeza kwa kuwa wanajua hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania nina wasiwasi kama wapinzani wataweka Wagombea.maana hata wao wameshaona namna Mama anavyokubalika mitaani.Rais Samia anapendwa na kukubalika mpaka watu wanabubujikwa machozi wakiwa wanatazama hotuba zake
 
Amini nakwambia hata ikichukuliwa Picha ya hayati Magufuli vs Samia still Picha ya hayati itashinda japo hayupo. Samia hapendwii huo ndo ukweli mchungu
watu makini,
kwenye mambo serious, hua hakuna utani wala mzaha,
lakini kwa hali na mazingira ya ya kisiasa nchini ni dhahiri Dr.Samia Suluhu Hassan atapa zaidi ya 90% ya ushindi,endapo atagombea urais 2025🐒
 
vyovyote itakavyokua ama itakavyosemwa,
uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na yeyote mwenye sifa ya kua kiongozi kwa kuzingatia vigezo na masharti ya kisheria 🐒

kwa maoni na mtazamo wangu endapo Dr.Samia Suluhu Hassan atagombea urais 2025, basi ushindi wa zaidi ya 90% uta muhusu.
Ana aminika,
Ni madhubuti,
Ana weledi,
Ni mchapakazi,
Ni mkweli,
Ni msikivu,
Anapendwa,
Ana sera, mipango na mikakati ya makusudi kwa manufaa ya waTanzania wote 🐒
KataaSamia2025
 
Back
Top Bottom