Ukaribu na ushirikiano uliopo kati ya CCM na CHADEMA kwa sasa unanifanya nifikiri ni nani walihusika na matukio ovu awamu ya TANO

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.

Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.

Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?

Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?

Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
 
Road map 2023-2025 na maridhiano ya kisiasa.
 
Chadema pasipokuwa na dikteta ni chama chenye nguvu kubwa sana. Sasa kuna watu wamebaki wakilalamika kuhusu kusemwa vibaya kwa shujaa wao aliyefariki. Hawa ni wale waliokuwa wanafaidika na propaganda zake. Magufuli alifanya maovu mengi na ndio maana alifunga midomo vyombo vya habari na sasa hayupo hivyo yote aliyozuia yasisemwe ndio wakati muafaka wa kuyasema. Yapo mengi yanakuja!
 
Unaelewa Yale maovu yanaweza fanya na mtu yeyote ?
 
Ukisoma VIZURI story ya yoga unatambua Kwamba!

Teka teka ile haikufanywa na jpm YOTE kama yote bali kuna genge lilifanya KWA MASLAHI mapana ya kumchafua Ili akosr credibility KWA wananchi Ndio Ndio Maana Hata mo alivotekwa marehemu alishangaa inakuajet mtu maarufu anatekwa mambo sasa yupo na igp yupo na hawajui!

Ilionyesha kuna baadhi ya Mambo hata yeeye alikua hajui yalifanyika kumchafua!!

Hata saanane alipewa na nani Siri KUHUSU phd ya kununua!!?

Kama sio MFUMO KWA kumsaliti Ili ku expose anxiety YAKE!!?

Yapo Mengi yamejificha Sana MUNGU ndio anaejua!!
 
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya hayati magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.

Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi ,cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha Image ya Hayati ina haribika.

Je, hizi harakati za kuhakikisha hayati magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya Kifo chake?

Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?

Je, hii nguvu inatumika kuharibia hayati magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Anything is possible
 
Ukisoma VIZURI story ya yoga unatambua Kwamba!

Teka teka ile haikufanywa na jpm YOTE kama yote bali kuna genge lilifanya KWA MASLAHI mapana ya kumchafua Ili akosr credibility KWA wananchi Ndio Ndio Maana Hata mo alivotekwa marehemu alishangaa inakuajet mtu maarufu anatekwa mambo sasa yupo na igp yupo na hawajui!

Ilionyesha kuna baadhi ya Mambo hata yeeye alikua hajui yalifanyika kumchafua!!

Hata saanane alipewa na nani Siri KUHUSU phd ya kununua!!?

Kama sio MFUMO KWA kumsaliti Ili ku expose anxiety YAKE!!?

Yapo Mengi yamejificha Sana MUNGU ndio anaejua!!
Yawezekana mtu namba moja, aliyekuwa anakelwa na utawala wa magufuri ni Rais Samia
 
Mimi nasemajee wacha wavurugane….siku zinavyozidi kwenda CCM nguvu inaisha sasa hv chama hakina mwenyewe kuna magenge tu…haya maridhiano nayashangaa sana km vile kuna genge limeelemewa linatafuta support…
 
Ukisoma VIZURI story ya yoga unatambua Kwamba!

Teka teka ile haikufanywa na jpm YOTE kama yote bali kuna genge lilifanya KWA MASLAHI mapana ya kumchafua Ili akosr credibility KWA wananchi Ndio Ndio Maana Hata mo alivotekwa marehemu alishangaa inakuajet mtu maarufu anatekwa mambo sasa yupo na igp yupo na hawajui!

Ilionyesha kuna baadhi ya Mambo hata yeeye alikua hajui yalifanyika kumchafua!!

Hata saanane alipewa na nani Siri KUHUSU phd ya kununua!!?

Kama sio MFUMO KWA kumsaliti Ili ku expose anxiety YAKE!!?

Yapo Mengi yamejificha Sana MUNGU ndio anaejua!!
He kumbe ni kweli alikuwa na Phd ya Magumashi!!
 
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.

Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.

Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?

Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?

Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Yes, hasa upande wetu wa CCM na serikali ukimya umekuwa mwingi sana. Sijui hatima yake. Nakumbuka hata Mzee Mkapa walipoanza kumzonga sana Dkt Kikwete alichimba mkwara watu wakaacha. Ila kwa upande wa Dkt Magufuli sijui kwa nini iko hivyo. Yaani mtaani watu wana mlaani sana Rais Samia.
 
Weye nawe! Kama walihusika sasa serekali ilikuwanga wapi?
 
Yes, hasa upande wetu wa CCM na serikali ukimya umekuwa mwingi sana. Sijui hatima yake. Nakumbuka hata Mzee Mkapa walipoanza kumzonga sana Dkt Kikwete alichimba mkwara watu wakaacha. Ila kwa upande wa Dkt Magufuli sijui kwa nini iko hivyo. Yaani mtaani watu wana mlaani sana Rais Samia.
Huu ukimya unatia Shaka sana
 
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.

Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.

Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?

Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?

Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Pumbaf7u wewe
 
Ushauri: Tafuta sumu unywe ufe hakuna jinsi nyingine.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.

Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.

Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?

Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?

Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
CCM ndio walimkandamiza mwendazake
 
Wacha kupindua maneno, Magufuli alikuwa shetani bana.
Ninaamini kama Magufuli angeendelea kuwa hai pengine kufika leo angekuwa kishaua mama yako mzazi, sidhani kama RNA ungeandika utumbo huo hapo juu
 
Back
Top Bottom