Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku...
11 Reactions
56 Replies
3K Views
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa. Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL...
80 Reactions
801 Replies
153K Views
MHE. GHATI CHOMETE ATEMBELEWA NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME-BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ametembelewa na Wahe.Madiwani wakiongozwa...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege...
51 Reactions
361 Replies
54K Views
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na usambazaji wa video mbalimbali mitandaoni za kuhadaa vijana ili waingie kwenye vurugu zinazopachikwa jina la maandamano ya Julai 7. Miongoni mwa Video...
0 Reactions
7 Replies
214 Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika...
0 Reactions
Replies
Views
Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya...
2 Reactions
57 Replies
1K Views
Wewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29...
24 Reactions
61 Replies
1K Views
Wanabodi ANGALIZO: Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli akisifiwa na kupongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema lolote, wao...
44 Reactions
262 Replies
27K Views
Gharama za kuomba KIBALI cha kazi kwa raia wa Afrika Mashariki anapotaka kwenda kufanya kazi katika nchi mwanachama wa Jumuiya EAC: Burundi: $60-84 Kenya: Hakuna ada Rwanda: Hakuna ada Tanzania...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mi nshamaliza kwenye title
1 Reactions
4 Replies
87 Views
Wanaukumbi. UCHAGUZI ulishafanyika Tanzania yaani nchi imeshaondoka kwenye uchaguzi na Rais alishaapa na Rais wa Tanzania ni Mhe.Samia Suluhu na mambo yatakwenda hivyo mpaka Oktoba 2030.. Sijui...
0 Reactions
20 Replies
222 Views
JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha. Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa...
8 Reactions
16 Replies
757 Views
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya. Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole. Wanaowasikiliza nao wamelia kwa...
13 Reactions
46 Replies
1K Views
CHATO! CHATO! CHATO! Tundu AM Lissu, MB Tienen, Ubelgiji Chato imetamalaki kwenye vichwa vya habari vya magazeti mengi ya Tanzania katika siku za karibuni. Chato imetawala mijadala katika...
97 Reactions
255 Replies
31K Views
Kwa taarifa zilizopo hadharani, Prof. Assad hajawahi kumtaja wazi kwa jina waziri huyo katika nukuu inayosambazwa kuhusu waziri kijana anayemiliki magari matatu aina ya LC300, Range Rover na...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Tunamshukuru Mbunge Msukuma hakumung'unya maneno kwa kuelezea jinsi fedha ya Road Fund inavyochezewa, kinyume na sheria ya Bunge. Kuna Mkandarasi mzawa ninaye mfahamu alipata kazi nzuri tu...
19 Reactions
133 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la...
12 Reactions
25 Replies
442 Views
Heshima kwenu wakuu, Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba...
10 Reactions
414 Replies
101K Views
Nakusalimu mheshimiwa Raisi. Kwa unyenyekevu mkubwa sana naandika haya kama mwananchi wa kawaida ambaye anapenda kuona wewe unafanikiwa. Huu ni ushauri, hivyo unaweza ukautendea kazi au ukaupuuza...
110 Reactions
112 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…