Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana!
Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo...
Wakuu,
Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM!
Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko...
Ataibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki...
Moja ya vyama vilivyowahi kuitikisa Nchi katika nyanja ya kisiasa ni NCCR-MAGEUZI iliyokuwa ikiongozwa na Marehemu Lyatonga Mrema na prominent figures wengine kama Wakili Mabere Marando.
Uchaguzi...
Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu...
Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya.
Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona...
Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu akieleza mkakati wa chama hicho kufungua kesi za kupinga kanuni za uchaguzi zinazoongoza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 zilizosainiwa leo, Jumamosi Aprili...
Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa...
Wakuu,
Ni bandika bandua, huku Askofu Bagonza kule Sheikh Ponda, yaani kuna watu huko vichwa vinawaka moto :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
====
Sheikh Ponda ameandika haya kupitia...
Wasalaam
Tukirejea katika hotuba ya Mwl Nyerere , wakati akizungumzia mapendekezo ya uwepo wa mfumo wa vyama vingi, anaelezea kwa kina dhamira ilikuwa ni kuwapa tahadhari CCM wasijikute wanaangia...
Ni mzalendo wa kweli
Ni mpenda haki
Ni mcha Mungu wa kweli... Lakini ni mzee wa rula.. Hapendi konakona
Hangaikeni naye vizuri, atawafaeni huko mbeleni.. Nyie na wana wenu na vizazi vyenu
Ni mtu...
Haya ni yale tuliyokuwa tumeyakosa:
Kumaanisha tunachosema.
Kwa hakika washikie hapo hapo Kila mpenda haki aliyepo hawezi kusita kuwa nasi:
Mungu mbariki TAL, Mungu ibariki CHADEMA na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Mhessimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katika muendelezo wa ziara zake anayoendelea nayo nyanda za juu kusini akiambatana na baadhi ya wajumbe wa...
Ratiba ya kampeni ikitoka vyama vishiriki uchaguzi pekee ndivyo vitaruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara Poleni CHADEMA hamtaruhusiwa sababu hamshiriki
Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo...
Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa...
Katiba yetu ndiyo sheria kuu kuliko zote na kuwanhakupaswi kutungwa sheria inayokinzana na katiba.
katiba inatoa ruhusa kwa raia kuchagua au kuchaguliwa, lakini ikatungwa sheria kuwa ili...
https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD
In brief:
➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward...
➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma...