Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini
Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu...
1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea.
2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani.
3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya...
WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa...
Kuna wakati Rais mstaafu Mzee Kikwete aligoma kusaini muswada wa sheria ya kinyonyaji uliosainiwa na wabunge wore kasoro Dr Slaa peke yake
Huko Kenya Rais Ruto amelataa kusaini muswada wa sheria...
Boniphace Jackob Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani ameahangaa kitendo cha wa Tanzania kutoshtushwa na No Reform No election
Boniphace Jackob aliyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Tandale...
Akisoma taarifa ya Hali ya Uchumi wa Nchi kwa mwaka 2023/24 na matarajio ya 2024/25 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema, hadi mwezi machine deni la Serikali limefikia...
WASIRA:CCM TUNAHUBIRI AMANI KWA SABABU NDANI YAKE KUNA HAKI.
Asisitiza Chama hakiwezi kukubali mtu au kikundi cha watu kuvuruga amani iliyopo
Na Mwandishi Wetu, Tabora
MAKAMU Menyekiti wa Chama...
Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi
NB: Victor Tesha ni makamu Rais wa Federation of Miners Association of Tanzania maarufu kama FEMATA na pia ni Managing Director wa Isale...
Wakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU...
Wanaccm wengi huamini kwamba chama chao ni chama imara na huilinganisha na miongoni mwa vyama imara sana hapa Africa na duniani.
Ila jambo moja ambalo linawaondolea hizo sifa zote na kuwafanya...
Aliyekuwa Mweka hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, Bi. Lidya Mashaka amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuikabidhi kadi ya Chadema kwa...
Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa...
Ili upinzani ushike madaraka ni lazima kufanyike reforms (hizi ambazo Lissu na Heche wamesimamia kidete) kwanza na ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa HAKI ni lazima iwe mpya(ijivue gamba lake...
Wakuu,
Kumekucha huku, kama ulikuwa hujajiandikisha kajiandikishe sasa... lolote litakalotokea Oktoba uwe na kitambulisho tayari!
Hivi utaratibu hufanyika hivi miaka wote? Yaani huwa zinatolewa...
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob awashukia vikali walimu na askari Polisi adai wanahusika kuihujumu CHADEMA kwenye nyakati za uchaguzi.
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka...