Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefuatilia matamko kadhaa ya viongozi wa chadema wakijipiza dhidi ya vilabu hivi pendwa. Kwa nini wamedhamiria kuvidhuru ? Kosa lao nini?
1 Reactions
41 Replies
1K Views
Serikali ya CCM kama zilivyo Serikali mbalimbali za Kiafrika zinazopokea misaada ya wachina , Shariti Kuu wanalopewa ni Hilo 'Kuruhusu Raia wa kichina watamalaki bila vikwazo ' . Ongezeko Hilo la...
5 Reactions
4 Replies
335 Views
Mpaka sasa tangia huyu sheikh Mwaipopo atamke hadharani kwenye mitandao ya kijamii maneno yenye kuleta chuki za kidini na uchochoze bado jeshi la polisi halijatoa taaarifa yeyote kwa umma ya...
1 Reactions
1 Replies
465 Views
Maafisa usafirishaji Tabora wapo bega kwa bega na Rais Samia Suluhu.
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho na Wananchi kwa ujumla kufika kwa wingi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili timamu kweli. Eti Leo ACT nao wanalipongeza Kanisa Katoliki kama sio unafiki ni nini. Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.
26 Reactions
122 Replies
7K Views
"Ni jukumu letu sisi wananchi kulinda amani ya nchi yetu kwa sababu amani inapatikana kwa shida sana na tukiipoteza hatutaipata" Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa.
1 Reactions
3 Replies
345 Views
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa...
33 Reactions
126 Replies
7K Views
Miezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Wakuu Salaam za pasaka kutoka viunga vya Tanzania! Bila kuwachosha, mada tajwa hapo juu yajieleza. Mimi binafsi sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura, maana ni kijipotezea fedha na muda wa...
1 Reactions
2 Replies
328 Views
Miye bado natafakari.
4 Reactions
13 Replies
637 Views
Hakika Askofu Kalikawe Bagonza ametupa jiwe gizani. Na kauli hiyo ni mwiba mchungu kwa wazushi wengi nchini kwetu.
20 Reactions
80 Replies
3K Views
Tuliaminishwa amani inaambewa. Lakini viongozi wa dini wameamua kuacha kuomba nakubaki washauri. Je, kama Taifa tutegemee maombi au tuishi kwa kutumia akili na utashi wa mwenyenzi Mungu...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
1 Reactions
21 Replies
995 Views
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepanga kusitisha matumizi ya namba za vitambulisho vya taifa kuanzia tarehe 1 Mei mwaka huu kwa wananchi waliotumiwa ujumbe wa kuchukua vitambulisho vyao...
0 Reactions
8 Replies
809 Views
Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective. Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kitendo cha CCM kutumia Amani kama kichaka cha kuwatishia au kuwadanganyia wananchi ili kutimiza malengo yao ya kisiasa haikubali! CCM inapaswa kutambua Haki pekee ndo itazaa Amani na hakuna...
3 Reactions
6 Replies
308 Views
Karibuni Vatican city ndio home 🏠 Maandalizi tayari bado tangazo tu
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA . UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA. TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)...
14 Reactions
42 Replies
2K Views
Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…