Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wadau, Mimi si muumini wa siasa za CHADEMA Ila kwa nchi ilivyo na cheo Cha Urais kilivyo ikitokea upinzani ukachukua nchi ningependa Rais awe Mbowe kwa Sababu ya Busara zake na Hekima...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
MCHAKATO wa mchujo kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioomba kugombea udiwani, unaanza leo kwa vikao vya chama hicho vya kata kuwajadili wagombea. Kwa upande wa wagombea ubunge na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtoto wa waziri wa fedha wa zamani achukua fomu NCCR-Mageuzi Posted by NCCR Media | Jul 29, 2020 | Habari Maalumu Mtoto wa waziri wa fedha wa zamani achukua fomu NCCR-Mageuzi. Siku takribani 90...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Tanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU. Kwa ujumla...
23 Reactions
74 Replies
7K Views
Chama cha ADA -TADEA kimempitisha John Shibuda kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 120 kati ya kura 130 zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mgombea udiwani katika Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo wilayani Igunga mkoani Tabora, Katambi Sospeter amejikuta katika wakati mgumu baada ya kudodosha kibuyu cha...
6 Reactions
44 Replies
8K Views
Hawa hapa Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato . Mungu ibariki Chadema
18 Reactions
90 Replies
10K Views
Na mwandishi wetu Jimbo la Gairo mkoani Morogoro ni kati ya majimbo nchini yatakayokuwa na upinzani mkali. Tajiri wa kampuni ya mabasi ya abiria Ahmed Shabiby awamu hii anakabiliwa na upinzani...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania. Mwaka 2015 wakati...
16 Reactions
165 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa muongozo wa watia nia wa nafasi mbalimbali wa CHADEMA wa mwaka 2012, Mtiania kwa nafasi ya Urais anapaswa kutangaza nia yake katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja kabla ya tarehe ya...
8 Reactions
84 Replies
10K Views
Tundu Lissu ndio tumaini pekee la sisi wanyonge kukombolewa. Ni yeye pekee anayeweza kwa mara nyingine tukaamka vitandani asubuhi kwenda kupanga foleni kwa ajili ya kupiga kura kama tulivyofanya...
48 Reactions
125 Replies
10K Views
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye...
48 Reactions
146 Replies
12K Views
WAJUMBE wa mkutano Mkuu wa Cha NCCR-Mageuzi Jimbo la Vunjo kwa kauli moja wamechanga fedha kiasi cha Sh 370,000 na hatimaye kumchukulia fomu Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake Mhandisi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Katibu wa CCM wilaya yaHai mkoani Kilimanjaro, siku ya leo baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa udiwani kupitia viti maalumu, amewatangaza rasmi madiwani wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM) Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe...
5 Reactions
173 Replies
18K Views
Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania...
11 Reactions
79 Replies
12K Views
Tumemsikia mwenyekiti wa CCM Kinondoni akisema majina yote yanakwenda Dodoma na watawachunguza washindi wa kura za maoni kuhoji ushindi wao wameupataje pataje? Kwa maana nyingine wanatumia vyote...
14 Reactions
67 Replies
7K Views
Poleni kwa msiba wa Taifa, Mwenyezi Mungu atufariji sote kwa kuondokewa na Rais wetu mtaafu mzee Mkapa, RIP. Niende kunako hoja yangu juu ya UCHAGUZI ujao, nionavyo mimi, uchaguzi huu unaweza...
1 Reactions
2 Replies
760 Views
Mtia nia Udiwani katika Kata ya Mwamkulu iliyopo Manispaa ya Mpanda ambaye amepata kura 5 nusura apoteze fahamu baada ya kuanguka ghafla alipokuwa akitazama karatasi za kura za Mtiania Kalip...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom