Uchaguzi 2020 Tumevuka kigingi kimoja, bado kingine

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,147
1,293
Tanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU.

Kwa ujumla mapokezi yalikuwa salama na Tundu Lissu hakukamatwa, hicho ni kigingi cha kwanza ambacho tumekivuka. Kigingi cha pili ni uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Je, utakuwa huru na haki, uchaguzi huu utatuweka tena kwenye darubini za kimataifa.
 
Hiko kigingi bado hakijavukwa mkuu, ndugu zako bado wako wanapitia mafaili yao muda wowote wanaliamsha dude hata kabla ya uchaguzi.
 
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Kama nguruwe wanavyozan babayao atashinda Urais
 
Tanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU.

Kwa ujumla mapokezi yalikuwa salama na Tundu Lissu hakukamatwa, hicho ni kigingi cha kwanza ambacho tumekivuka. Kigingi cha pili ni uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Je, utakuwa huru na haki, uchaguzi huu utatuweka tena kwenye darubini za kimataifa.
Hapo pagumu sna
 
Back
Top Bottom