Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 4,523 Reaction score 4,721 Apr 17, 2025 #1 Wasalaam Pamoja na kauli hizi za kukiri kuuwa watu sijasikia jeshi letu la police likichukua hatua Attachments 8d11e3c89ffa61489cd714b330291758_1744879011610.mp4 7.6 MB
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,342 Reaction score 31,310 Apr 17, 2025 #2 Iko wazi Ngedere hawezi kumshtaki nyani kwa kuiba mahindi shambani
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,698 Reaction score 4,912 Apr 17, 2025 #3 Boya gani huyu?ni wakati sasa watu kama hawa kuwekwa hadharani ili sisi kama jamii tuweze kuwapa stahiki zao
Boya gani huyu?ni wakati sasa watu kama hawa kuwekwa hadharani ili sisi kama jamii tuweze kuwapa stahiki zao
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,432 Reaction score 139,497 Apr 17, 2025 #4 Hivi huyu jamaa alichukuliwa hatua gani?
N NABII MTARAJIWA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 878 Reaction score 1,201 Apr 17, 2025 #5 Hakuna chama kinaweza kuitoa CCM madarakani kupitia uchaguzi maana imejibinafsishia vyombo vya dola. Ni lazima Mungu mwenyewe ahusike.
Hakuna chama kinaweza kuitoa CCM madarakani kupitia uchaguzi maana imejibinafsishia vyombo vya dola. Ni lazima Mungu mwenyewe ahusike.
Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 4,523 Reaction score 4,721 Apr 17, 2025 Thread starter #6 OKW BOBAN SUNZU said: Hivi huyu jamaa alichukuliwa hatua gani? Click to expand... Alipandishwa cheo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,460 Reaction score 195,271 Apr 18, 2025 #7 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw