technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega
Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!
kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!
Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?
je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?
una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?
una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?
Rais Samia be careful !!