Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Wewe ni wakili wa kawaida sana ila unapenda kufanya Touting ili upate wateja, wapo mawakili wazuri akina Majura Magafu lakini hawana shobo wala nini ila wewe ndio unajiona unajua sheria sana...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24. Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni. In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya...
12 Reactions
78 Replies
4K Views
Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi. Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni...
2 Reactions
4 Replies
624 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga - Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza...
0 Reactions
1 Replies
460 Views
Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43...
0 Reactions
1 Replies
302 Views
Mbeya, Tanzania – Machi 23, 2025 – Katika hatua muhimu kwa upinzani wa Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, amejiunga...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao...
15 Reactions
94 Replies
5K Views
Ukiona mtu anasimama na kuilazimisha serikali kama haina kiongozi kuwa wao ni Alfa na Omega na matamshi yamejaa kibri lazima ujiulize mara mbili mtu huyu ni mtanzania kweli. Tanzania tumezoea...
9 Reactions
149 Replies
5K Views
Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete alivyokuwa anaongoza ujumbe wa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2022 uliofanyika Agosti 9, 2022 Nchini Kenya.
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Haya ni maneno ya Mzee Butiku: Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini? Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu? Ya nini kuitisha chaguzi viini macho? Ya nini kusumbua watu...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Nakumbuka kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 Chadema kupitia UKAWA walikuwa wanaimba Tenzi za Rohoni na kutoa sadaka kwenye mikutano ya kampeni za kisiasa Niwakumbushe tu nyimbo za injili ni ibada siyo...
0 Reactions
3 Replies
319 Views
Wanabodi Karibuni kwenye hii. Live from PSSSF Millennium Towers Kupitia TBC Mubashara, nawaletea Kongamano la Miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, yenye mada kuu ya Tanzania Tulipotoka, Tulipo na...
2 Reactions
8 Replies
604 Views
Atoa Bati 30 kwa Wajasiriamali na mifuko 30 ya saruji ujenzi zahanati Nyange 🗒️JUMATATU 21 APRIL 2025. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mhe. Dkt. Florence George Samizi, katika ziara yake leo Kata...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Hali ya siasa ikibaki kama ilivyo na tume hii ikibaki kama ilivyo iwe jua iwe mvua Mama Samia ni Rais na Dr Nchimbi ni Makamu wake! Na wakishinda watakuwa madikteta maana watakuwa wameshika Chama...
3 Reactions
9 Replies
496 Views
Tanzania tuna makardinali wawili muadhama Polycap Kardinali Pengo na Muadhama Protace Kardinali Rugambwa Je, Kardinali Pengo altapiga kura? Papa ni lazima apate 2/3 ya kura ili atangazwe mshindi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…