Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Anza na hii clip https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=9RxFyI43cF6ff0og Kufanya kosa, sii kosa, kosa kurudia kosa, nchi yetu ya Tanzania, tuko hapa tulipo, kwasababu tumefanya makosa mengi...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanabodi, Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread maalum kwa watu maalum na lengo maalum la kutuma ujumbe maalum kabisa kwa watu maalum...
9 Reactions
49 Replies
8K Views
Friends and our Enemies, God bless lema na CHAMA chake wamekuwa hodari sana kuwanga waislam kwa kusema eti wamekuwa baridi Kila awamu ambapo Rais amekuwa ni muislam hata kama Rais huyo anafanya...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba...
2 Reactions
3 Replies
385 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea...
0 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakuu! Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, leo tarehe 23 Aprili 2025 anazungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote...
22 Reactions
73 Replies
5K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Kiukweli kuna nyakati mambo yanajichanganya mno hata usijue nini cha kufuatilia Huu ni muda wa bunge la bajeti na Trump anazidi kuubana Uchumi wa dunia lakini watu Havana habari kabisa...
0 Reactions
2 Replies
181 Views
“Demokrasia ya Kidikteta” au “Demokrasia ya Maonyesho”—Ni Demokrasia ambapo uchaguzi upo, vyama vya upinzani vipo, lakini mfumo mzima umejaa ishara za kuwa demokrasia ni maigizo tu. Hizi hapa ni...
2 Reactions
3 Replies
369 Views
Wakuu, Ni wazi kuwa watu wa kwenye system wanakwamisha kwa makusudi, wananchi kushuhudia kesi ya Lissu. Leo asubuhi kama wote mlivyoona, Dar walijazwa mapolisi kila sehemu kuanzia Mwenge hadi...
1 Reactions
1 Replies
309 Views
One defense strategy that our bodies have evolved is programmed cell death. In this process, cells in our bodies once infected say with a virus or sustained irreparable damage, they commit...
2 Reactions
9 Replies
825 Views
Wakuu, Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini...
5 Reactions
81 Replies
8K Views
Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata...
0 Reactions
6 Replies
569 Views
(1) Tundu Lissu si mwanasiasa tu – ni wakili wa mahakama kuu, na mtetezi wa haki za binadamu kwa miaka mingi. Kugomea kwake Mahakama Mtandao si ubishi wa siasa, bali ni sauti ya tahadhari kwa...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa. Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanabodi, Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Napendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao. 1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini. 2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi...
4 Reactions
6 Replies
700 Views
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuingia madarakani mwaka 2021 na kuombwa sana na Wanachadema na makundi mbalimbali kwenye jamii kuhusu kufutiwa kesi ya Ugaidi iliyokuwa inamkabili Mh Freeman...
2 Reactions
59 Replies
3K Views
Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari. Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…