Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bravissimo Al-Jazeera! Hapendwi mtu wala haogopwi mtu. Afanyaye zuri na jema, atapongezwa. Atayeharibu, atachanwa tu. Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya...
70 Reactions
137 Replies
9K Views
KAMATI YA BUNGE YARIDHIKA NA MAENDELEO MRADI WA MEMBE Yamuomba Rais Kuongeza Utoaji wa Fedha Miradi ya Umwagiliaji Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha. Makonda amesema hayo wakati...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa. Cheo cha Urais Tanzania hii ni...
27 Reactions
67 Replies
4K Views
Salama wananzengo, Kwa sisi wakazi wa Segerea kata ya Bonyokwa kunapitia adha kubwa sana ya miundombinu ya barabara inayoelekea Kanisa Katoliki na kwa mbunge wetu Bonnah Kamoli. Hii barabara ni...
5 Reactions
9 Replies
564 Views
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo. Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana. Hata hivyo, je, wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi...
2 Reactions
111 Replies
3K Views
Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican. 1. William Ruto, Kenya 2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania, 3. Mstaafu na...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini Ndg Geofrey Kiliba amewajibu wale waliokosoa ziara yao kama taasisi kutembelea wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mikoani, wamesema...
1 Reactions
6 Replies
639 Views
Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha. Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare...
23 Reactions
252 Replies
10K Views
Kimsingi hapa duniani huwezi fanya uovu halafu usilipie gharama za huo uovu wakati ukiwa hai. Moto anaopitia Gambo kwa sasa ni gharama za uovu alioufanya wakati akiwa RC. Kwa msiojua ni kuwa kuna...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mfumo wa kiuchaguzi wa sasa hauwezi kuzingatia kura ya mtu, kama mabadiliko yatafanyika nendeni mkapige kura kwa wingi, lakini kama hakuna mabadiliko yoyote msiende waachieni wajipigie kura...
4 Reactions
3 Replies
344 Views
Chadema na hasa mh Tundu Lisu husikeni na huu urithi wa baba mtakatifu Papa Francis Jengeni madaraja ya kuunganosha watu Msijenge UKUTA wa kuwatenganisha Watu Ahsanteni sana
0 Reactions
3 Replies
223 Views
Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi. Ndg waandishi wa habari popote pale...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa. Changamoto ipo kwa...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Angalia hapa Halafu toa maoni yako
3 Reactions
7 Replies
489 Views
Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma...
4 Reactions
17 Replies
655 Views
Na:Abdull Najad Faiq Unapo zungumzia Tanzania huwa ina maana 2 tofauti kulingana na katiba ya Jamhuri Tanzania ni jina lililopatikana baada ya kuungana kwa nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar...
1 Reactions
6 Replies
531 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…