Nchi hii kwa sasa inahitaji Rais Dikteta

Nchi hii kwa sasa inahitaji Rais Dikteta

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
63
Reaction score
136
Hapo nyuma kidogo palisemwa kuwa Taifa lilipofikia linahitaji rais dikteta.

Dikteta akaingia na akatawala kidikteta kweli kweli

Upinzani makaminywa mazaga

Vyombo vya habari vikaminywa mazaga

Wapinzani wakatekwa

Wapinzani wakauwawa

Risasi zilirindima mchana kweupe

Utenguzi wa watendaji bila kufata process

Katiba ikakanyagwa

Ikulu ikahamia bungeni

Bunge likahamia ikulu

Diktata kafa kazikwa

Demokrasia za 4R’s Zikaanza

Maandamano yakarudi

Mikutano ya hadhara ikarudi

Vyombo vilivyofungiwa vikaachiwa

Uhuru wa watu ukapitiliza hadi kutamani kunyea ikulu

Udikteta umeanza kurudi

Nadhani ni muda sahihi kuipongeza serikali kuanza kutawala kidikteta kama tulivyowapongeza wendazao

Ameyn
 
Kichwa cha habari kinaonesha we raisi kuwa muhudu wa bar sio ndege
 
1746247111700.jpg
 
Hapo umeamka unayo uhakika wa kula na kwenda chooni kwa pesa za umma ulizokwapua; unaanza kuandika uharo mtupu. Yaani akina Ally Kibao walikuwa na makosa gani hadi wauawe kikatili na hakuna aliyewajibishwa hadi leo.

Punguza upumbavu ili uone uhai wa watu wengine kuwa ni muhimu pia, serikali inayoshindwa kuwalinda watu wake dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama wanaojiita wasiyojulikana wana maana gani sana kuongoza.
 
Kijana hana habari kuwa tayari tuko chini ya utawaliwa Kidictator.
 
Hapo nyuma kidogo palisemwa kuwa Taifa lilipofikia linahitaji rais dikteta.

Dikteta akaingia na akatawala kidikteta kweli kweli

Upinzani makaminywa mazaga

Vyombo vya habari vikaminywa mazaga

Wapinzani wakatekwa

Wapinzani wakauwawa

Risasi zilirindima mchana kweupe

Utenguzi wa watendaji bila kufata process

Katiba ikakanyagwa

Ikulu ikahamia bungeni

Bunge likahamia ikulu

Diktata kafa kazikwa

Demokrasia za 4R’s Zikaanza

Maandamano yakarudi

Mikutano ya hadhara ikarudi

Vyombo vilivyofungiwa vikaachiwa

Uhuru wa watu ukapitiliza hadi kutamani kunyea ikulu

Udikteta umeanza kurudi

Nadhani ni muda sahihi kuipongeza serikali kuanza kutawala kidikteta kama tulivyowapongeza wendazao

Ameyn
Wa kuumiza watu?
 
Back
Top Bottom