Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM. Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai...
4 Reactions
55 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi, Francis Mazigo, ametangaza rasmi kujivua nafasi yake ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC)...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Kuna watu wanadhani Tanganyika ilipewa Uhuru wa mezani baada ya Nyerere kwenda UNO Ukweli ni kuwa kuna makabila machache sana yalipigana vita kumuondoa mjerumani wakiongozwa na wahehe Chini ya...
18 Reactions
84 Replies
4K Views
Askofu Lazarus Vitalis Msimbe wa Jimbo Katoliki Morogoro akitoa mahubiri kwenye adhimisho la ibada ya Misa ya kusimikwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
1 Reactions
3 Replies
436 Views
Vita bado ni kali, ila hawatashinda. Katika kesi hiyo, walalamikaji ni baadhi ya viongozi wa bodi ya wadhamini wa chama wakiwa na jumla ya hoja 7 wanazotaka mahakama izifanyie kazi mojawapo...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya...
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, Iddi Kasimu amewapatia usafiri wa baiskeli bure wenyeviti wa serikali za vijiji 92 vya halmashauri ya Msalala, utakaowasaidia kufuatilia utekelezaji wa...
0 Reactions
8 Replies
687 Views
Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Ulaya makanisa yalianza kufa baada ya viongozi wa dini kujitosa kwenye siasa ,Tanzania linakuja taratibu Viongozi wa dini walianza kuhubiri umuhimu wa demokrasia. Wakati huo serikali ilikuwa...
-1 Reactions
75 Replies
3K Views
Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari. Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike. Chadema kama...
1 Reactions
9 Replies
680 Views
1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa...
2 Reactions
16 Replies
796 Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obadi amekosoa kitendo cha baadhi ya wanasiasa kukosoa viongozi wa dini kujihusisha na siasa kuwa huo ni uoga...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima. Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Erick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao))...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Kanda ya Victoria kimesema kipo imara na hakiwezi kuyumba kwani viongozi na wanachama waliohama hivi karibuni kwao ni kama makapi tu Katibu wa CHADEMA...
2 Reactions
4 Replies
590 Views
"Napenda niwahakikishie watanzania na wapenda amani na usalama kuwa tayari serikali kupitia Wizara ya Mambo ya ndani imeviagiza vyombo vya dola kuwatafuta, kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za...
3 Reactions
13 Replies
724 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inalaani vikali na kukemea tukio la kushambuliwa na kuumizwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Kila nchi ina magereza yanayoitwa maximum security prisons. Magereza ya aina hiyo yanakuwa na ulinzi mkali na masharti tofauti kwa wanaoshikiliwa (inmates) humo ukilinganisha na kwenye magereza ya...
-2 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…