Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya. Taarifa...
34 Reactions
124 Replies
14K Views
Ndugu zangu, Ukiacha jinsi alivyosimamia rasilimali kwa maslahi ya Watanzania namna alivyolikabili janga la COVID-19 hususani dhidi ya sera dhidi ya WHO na baadhi ya mataifa mengine. Tukija visa...
9 Reactions
91 Replies
5K Views
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza. Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na...
23 Reactions
80 Replies
8K Views
Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu. KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo. Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
18 Reactions
43 Replies
5K Views
Miaka mitanobiliyopita alikuwepo diwani anaitwa watende wa viti maalum CCM. Huyu diwani aliwatesa sana wananchi na wakulima wa maeneo hayo kwakusababisha mashamba yao kuporwa na wamasai na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwenye uchaguzi wa 2020 Ni vigumu kusema CCM itashindwa na chama cha upinzani, lakini Vyama vya upinzani vinaweza kupata viti vingi vya ubunge na udiwani kama watamwachia Mh. Membe awe mgombea...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara Mhe.Maftah Nachuma ameshinda kura za maoni katika Jimbo la Mtwara Mjini, Mhe. Maftah ndiyo atapeperusha bendera ya Chama cha Wananchi CUF katika Jimbo la...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Haya ni maoni yangu kwenda kwa watunga sera wa Chama Cha Mapinduzi, ikumbukwe mwezi Julai 2020 kulikuwa na kura za maoni kwa waliokuwa wanadhamiria kugombea nafasi ya Udiwani na Ubunge katika...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Bila kupepesa macho mtu anaeweza kuleta siasa za ushindani kwa chama tawala mwaka huu na hata lolote kutokea kwenye sanduku la kura ni TL. Nawashauri CHADEMA wisifanye kosa la 2015 la kubadili...
3 Reactions
7 Replies
952 Views
Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zilikuja na vituko vyake. Moja ya vituko hivyo lilikuwa ni kitendo cha Magufuli kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa alifaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa kuwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
WASIMAMIZI wa uchaguzi wa mikoa na wasimamizi wa uchaguzi mkuu ngazi ya wilaya na majimbo, wameagizwa kuhakikisha simu zao zinakuwa wazi katika kipindi chote hadi uchaguzi utakapomalizika na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
CCM imefanya mambo makubwa ndani ya hii miaka 5 ya Rais Magufuli na hili wananchi wote wanalijua. Tundu Lissu amekuwa ni mtu wa kulalamika na kushutumu huku akipinga kila jambo litendwalo na CCM...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
CCM bila vyombo vya Dola ni sawa na TLP tu Tangu magufuli kaingia madarakani kalisahau kundi kubwa la vijana hasa kwenye suala la ajira CCM chini ya Magufuli imetumia mabilioni ya watz kununua...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Laurance Masha (kulia) akichukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Sengerema
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Sitaki kusema mengi, lakini kundi hili lipo kimya, halina kelelee. Walichofanyiwa miaka 5 wanajua cha kufanya. Ni kundi dogo ila lina ushawishi wake. Kumbuka mtumishi mmoja anategemewa na wastani...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Mueleze bila kupepesa macho tatizo la utapiamlo kwa watoto wachanga na mna mikakati gani. Waziri wa Afya ummy Mwalimu amesema takriban asilimia 31.8 ya vitoto vichanga nchini chini ya umri wa...
1 Reactions
7 Replies
949 Views
Anaandika mbobezi wa tasnia ya habari, mwanahabari Ndg. DOTTO BULENDU; 2015 Vyombo vya Habari hususani TV viliweka utaratibu mzuri wa namna ya kuandika na kutangaza Habari za Kisiasa hususani...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010...
20 Reactions
67 Replies
8K Views
Back
Top Bottom