General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Sitaki kusema mengi, lakini kundi hili lipo kimya, halina kelelee.
Walichofanyiwa miaka 5 wanajua cha kufanya. Ni kundi dogo ila lina ushawishi wake. Kumbuka mtumishi mmoja anategemewa na wastani wa watu 4. Kuna Baba, Mama, Mwanza acha hao ndugu wengine.
Watu hawa kwa sasa wameamua kunyamaza, hawahangaiki na kelele za mitandao, sijui magazeti, na hizo redio pamoja na nyimbo za wasanii kedekede. Wanajua nini cha kufanya October.
WATUMISHI: THE SILENT MAJORITY IS STRONGER THAN EVER BEFORE.