Uchaguzi 2020 Kama CHADEMA haitampitisha Tundu Lissu kura yangu nitampa Magufuli

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
630
502
Bila kupepesa macho mtu anaeweza kuleta siasa za ushindani kwa chama tawala mwaka huu na hata lolote kutokea kwenye sanduku la kura ni TL.

Nawashauri CHADEMA wisifanye kosa la 2015 la kubadili gia angani kumuacha Dr.Slaa aliekuwa kajipanga sawasawa na wakamteua Lowassa kuwa mgombea wao. Matokeo yake baadae kila mtu ameyaona wote wamerejea walikotoka.

Japo Lazaro ni kama anaonekana kuwa presidential material pia, ila bado naona kwa mazingira ya sasa TL anafaa zaidi.
Ivyo CHADEMA Msifanye kosa kumtosa TL
 
Mkuu

Usipoteze muda wako kwa vitu ambavyo viko wazi

Tundu Lissu ninani kwenye siasa za Tanzania?

Kura yako ni muhimu sana kwa CCM lakini hata

kama usipopiga CHUMA kitapeta.

Shukrani
 
Jerry Kuna tofauti ya kupiga kura na kutangazwa mshindi. JPM atatangazwa na TUME mshindi kwa kura za kutosha..😛😛😛😛😛 na tuna Imani naye japo TL anaweza leta changamoto.
 
Back
Top Bottom