Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama...
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze...
PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika...
The question I’m asking is: "Does WHO Africa not have electoral fraud to allow Janabi to win?" I raise this question because this candidate comes from a country that has a history of electoral...
Nimesikia watu mbalimbali na hata viongozi wakubwa kabisa wakisema watanzania tufanye kila tuwezalo ili professor Janabi ashinde kinyan’anyiro cha uchaguzi wa mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa...
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha...
Polisi wamevamia nyumba anayoishi Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome. Inadaiwa kuwa wamempiga mama mzazi wa Katibu huyo na kupelekea kuzimia mara kadhaa.
Watano wamekamatwa na...
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana...
Ukifuatilia vizuri na kwa umakini, utagundua kwamba wale wote waliotangaza kuondoka Chadema, umaarufu wao ulizikwa siku ileile waliyotangaza kwamba wanahama kwenye Chama hicho, yaani baada tu ya...
Wakuu,
Alooo hii kali🤣🤣🤣 kama utupu kichwani ungekua mtu basi angekuwa Babu Tale! Yanayomhusu ni ya jimboni kwake tu hayo mengine yanayotokea sehemu nyingine sio kazi yake, hayamhusu na hataki...
Wakuu,
Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli.
Amesema kuwa kwa sasa Mbowe...
TAUHIDA GALLOS AKABIDHI GARI KWA UWT MKOA WA MAGHARIBI, ZANZIBAR
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 akiwa Kiembesamaki...
Labda wale wakongwe tuliokuwepo enzi hizo akina mrangi na Pascal Mayalla wanaweza kunipa mfanano wa kesi hizi mbili ya Tundu Lisu na ile ya 1980s ya akina Macghee, Hans Pope na wenzao
Hata nyie...
Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Baada ya kula kiapo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe Dkt. Scholastika Kevela amewataka viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Njombe waliojiondoa...
Kama unakumbuka ile tafrani ya CCM hadi wengine akina Tandaleone wakaanzisha CCJ ilikuwa hivi hivi sawa na G55
Anachofanya Mbowe anawatanguliza wafuasi wake Chaumma huku yeye mwenyewe na Wapendwa...
Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana...